Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,819
- 140,847
Kwa kifupi hivi ni vyuo alivyosoma Daudi Bashite katika ngazi za Diploma na Degree ya Kwanza. Mbegani ni chuo cha uvuvi kiko Bagamoyo na Muccobs kinajulikana ni chuo cha Ushirika kiko Moshi.
Sasa kama imeshadhibitika mtu huyu alitumia cheti sio chake kujipatia elimu ya juu kwa nini vyuo hizi vinasita kumfutia vyeti vyake kwa sababu ya udanganyifu?
Sasa kama imeshadhibitika mtu huyu alitumia cheti sio chake kujipatia elimu ya juu kwa nini vyuo hizi vinasita kumfutia vyeti vyake kwa sababu ya udanganyifu?