Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,217
- 125,314
KWAKO Waziri Mwigulu Nchemba. Askari wetu/wako 8 wameuliwa na majambazi. Tunashukuru kuwatambua kwa majina yao, vyeo vyao na miili yao. Sasa, tumeambiwa ulikuwa ni vita. Kwamba askari wetu nao wameua majambazi 4 katika vita hiyo. Je, tunaweza kujua majina yao ili ndugu, jamaa au marafiki waje kuchukua miili ya wapendwa wao wakahifadhi? Kama majina hakuna, tunaweza basi kuoneshwa miili yao tuwatambue? Tafadhali mhe Waziri.
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!
[HASHTAG]#UzalendoKwanza[/HASHTAG]!