Duru toka ndani kabisa ya watu waliokaribu na kiongozi aliye jihudhuru kwa kashfa ya ufisadi eti amemshawishi kiongozi wa KKKT KUMJIBU PENGO hapo kesho kupitia press itayoitishwa.
Yetu macho!
Wahitaji kuombewa, Siyo Bure!"Ndugu zangu Walutheri"!!! Naona wanatekeleza maagizo na mfadhili wao.
Pengo ni dola km ilivyo dola la Tz ndg.Pengo na gwajima ni mbingu na ardhi!Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Wewe sio mkatolikiMimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Wewe si mkatolikiPengo anatuangusha sana sisi wakatoliki
Ova
Wewe Ndo uneshindwa kukiona . Afu nawasiwasi na ukatoliki wako ???!!Mimi ni mkatoliki lakini mambo anayoyafanya Pengo nashawishika kumuunga mkono Gwajima naamini Gwajima pia ni askofu kama Pengo tu kutokana na kulijulisha taifa kile ambacho ingekuwa vigumu kwa mkatoliki kukiona kwa Pengo.
Huo ni ujinga na kuwachanganya waumini. Nazani hizi IMANI zinataka kutuingiza kwenye machafuko