Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika pitapita zangu nimegundua choo cha umma cha Mbezi stand ndio kuna bei kubwa kuliko vyoo vyote nilivyowahi kuviona. Wakati gharama ya huduma za haja kubwa na ndogo karibu mahala pote ni...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Kufuatilia sakata la mwalimu wa shule ya sekondari Lerai kuwekwa Rumande kinyume na sheria za utumishi wa umma na mkuu wa wilaya,chama cha waalimu CWT MKOA WA KILIMANJARO wamekuwa na kigugumizi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je, mitandao ya kijami inakidhi haja katika hichi kipindi cha Utawala wa Awamu ya 5 ambapo Mikutano ya kisiasa, Bunge live na Maandamano vimepigwa marufuku?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Marijuana farms are burning in California wildfires. Deadly wildfires in Northern California are burning up marijuana farms in the so-called Emerald Triangle. Blazes have destroyed a number of...
0 Reactions
5 Replies
650 Views
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia juu ya muonekano hasa mavazi ya walinzi wa chadema ,hakika kuna kasoro kubwa sana, japo sisi kama wapenzi wa mabadiliko hatujaliona hili, lakini ni hatari kwa...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
it's better that I should choose getting killed than... 1.Being a ccm member 2.Working as a mortuary attendant 3.Taking part in the fifth phase government. 4.getting married to a harlot woman...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Habari wakuu, wasomi ni wakuheshimu sana sana sehemu yoyote pale duniani, kwani wao ndi think tanker,vyanzo vya maarifa na utatuzi wa changamoto mbali mbali,pia akili zao kufanya kazi haraka...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
THURSDAY, OCTOBER 12, 2017 Askari wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa askari wa Jeshi la Ulinzi la...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi. Huwa najiuliza sana, unakuta watumishi wa Serikali wanaulizia sana mshahara kila siku. Wanakagua sana ATM mashine kuanzia tarehe 21 ya kila mwezi. Ina maana mshahara usipotoka...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Tanzania’s new laws ‘risk mining investment’ Stuart McKinnonWednesday, 12 July 2017 5:17AM Tanzania’s new laws ‘risk mining investment’ The laws give the Tanzanian Government the power to tear...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
ni vigumu ukawa unaongea wewe tu kila siku ya ibada mwaka mzima na miaka bila kuchokwa... Imesahabisha hawa jamaa wasome sana, Watafute mbinu nyingi za ushawishi, kiuongozi na kutawala fikra...
0 Reactions
2 Replies
676 Views
miaka ya zamani ni nadra sana kukuta mtu anatoka bank anavamiwa na majambazi wenye silaha za moto.. lakini kwa sasa haya matukio yameshika hatamu hadi inatisha..ilianza taratibu sasa imekuwa...
10 Reactions
17 Replies
4K Views
Taarifa ziwafikie VETA Mwanza Mnalala sana kuna vyuo pale mjini ni vya kishenzi havizingatii mitaala,hawajali walimu wao kuwalipa ni kwa Shida,chuo kinajua kukusanya ada ila kuzingatia mfumo...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Hili Tangazo la tigo linalo muonyesha mtoto akimuuliza babaye kwenye voip BABA UNARUDI SAANGAPI kwakweli nimekunwa sana tena mgongoni pale ambapo mkono hauwezi kufika, kuwa na mtoto ambaye atakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Umbile la Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana maumbile ya wanyama kadhaa; 1. Miguu ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi; 2. Mkia ni umbile la Farasi 3. Michirizi ya Pundamilia 4. Pembe ni za Nyati 5...
7 Reactions
306 Replies
79K Views
Nimekua nikisikia kua Tabata ndio kuna bata, basi siku za hivi karbuni nikawa na mambo yangu maeneo hayo. Pia nikaamua kufanya utafiti usio rasmi kuhusu ubora wa misosi ya hizo bar. Kwa mfano...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Wananchi watakaobainika kutokuwa na vyoo bora wilayani Kilolo watawekewa bendera nyekundu majumbani mwao ili kuwatambua ikiwa ni mkakati wa serikali wilayani humo kukomesha magonjwa ya mlipuko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Shughuli za ubomoaji wa nyumba ili kupisha ujenzi wa miundombinu ni jambo muhimu sana. Kuna baadhi ya maeneo jijini Dar ni lazima shughuli hiyo ikafanyika mapema bila kupoteza muda. Maeneo...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
*Channel ya Clouds plus kuwa na kifutushi cha peke yake yaana hata ulipie kifurushi cha juu kabisa cha 28,000 hupati channel hii mpaka uilipie kivyake sh 3,000! *kuongeza kufurushi kutoka 15,000...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Chuo cha tiba ya miguu nchini Uingereza kinasema karibuni kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya maradhi yanayosababishwa na kuvu kutokana na kuvuma kwa mtindo wa kuvalia viatu bila soksi, hasa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…