Matungiza
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 523
- 335
Shughuli za ubomoaji wa nyumba ili kupisha ujenzi wa miundombinu ni jambo muhimu sana. Kuna baadhi ya maeneo jijini Dar ni lazima shughuli hiyo ikafanyika mapema bila kupoteza muda.
Maeneo muhimu ambayo yanapaswa kubomolewa na wenyewe kulipwa ni njia ya Tabata relini hadi Segerea na Majumba Sita hadi Kinyerezi Mbuyuni.
Ubomoaji huo utasaidia kuondoa foleni kali katika njia hiyo muda wote. Tunaiomba Serikali kutupia macho eneo hilo na kama inawezekana hata kesho shughuli hiyo ianze.