Kimetah
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 1,049
- 189
Kufuatilia sakata la mwalimu wa shule ya sekondari Lerai kuwekwa Rumande kinyume na sheria za utumishi wa umma na mkuu wa wilaya,chama cha waalimu CWT MKOA WA KILIMANJARO wamekuwa na kigugumizi cha kutafuta suluhu kati ya mkuu wa wilaya na waalimu wa wilaya ya Hai.
Waalimu hao wamekuwa wakihoji jitihada za cwt ambazo hazizai matunda kwani cwt iliahidi kupitia katibu wake wa wilaya kwamba wangepatia ufumbuzi wa swala hilo ndani ya mwezi mmoja LAKINI mpaka sasa wamekuwa wakipigwa kalenda na kuambiwa linashuhulikiwa pasipo kuona jitihada za dhati za kuleta suluhu kati ya walim na mkuu wa wilaya.
katika kikao cha cwt na walim wa shule ya lerai iliahidi kuleta mrejesho wa kila hatua wanayoifikia katika kupata suluhu ya swala lililojitokeza kwani walikerwa pia na kauli ya mkuu wa wilaya kwamba ''kasemeni kwenye chama chenu kama mnaona kitawasaidia''.
walimu wanaoji 1. je ni kweli cwt haina uwezo wa kutetea haki ya mwalimu aliyeonewa?
2.cwt inafanya kazi gani kama haiwezi kusimamia haki na wajib wa mwalim?
3.mapato na matumizi ya fedha zinazokatwa kila mwez kwa kila mwalim ni kwa matumizi ya nani na faida ya nani?
Mungu Mbariki Raisi wetu azidi kuinyoosha nchi maana kunasehemu zingine zimepinda kabisa