Hivi in kweli mikutano ya kisiasa imepigwa marufuku ..... pata hakika ya hilo jambo kwanza kabla ya kuruhusu mjadala ktk hiliJe, mitandao ya kijami inakidhi haja katika hichi kipindi cha Utawala wa Awamu ya 5 ambapo Mikutano ya kisiasa, Bunge live na Maandamano vimepigwa marufuku?
Mikutano hiyo ifanyikayo majimboni na wabunge ni ya kidini ama kisiasa?Ndio imepigwa marufuku hadi 2020
Wabunge ndio wanaruhusiwa kufanya mikutano peke yao? Na wengine mpaka 2020, kwa sheria ipi? Kifungu kipi?Mikutano hiyo ifanyikayo majimboni na wabunge ni ya kidini ama kisiasa?
Sio kweli, mbona mbunge wetu jana aliongea na sisi??Ndio imepigwa marufuku hadi 2020
Ungeweka wazi ukaeleweka .... sio siasa imepigwa marufiku mpaka 2020 ....Wabunge ndio wanaruhusiwa kufanya mikutano peke yao? Na wengine mpaka 2020, kwa sheria ipi? Kifungu kipi?
Katiba inasema Siasa itafanyika hadi 2020? Hiyo katiba ni ya wapi?
My schedule now is work, ONLY WORK ... no time for any argument especially political argumentTulipoambiwa mikutano ya kisiasa hadi 2020 ndio itaanza kufanyika alimaanisha nini?