Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Hili Tangazo la tigo linalo muonyesha mtoto akimuuliza babaye kwenye voip BABA UNARUDI SAANGAPI kwakweli nimekunwa sana tena mgongoni pale ambapo mkono hauwezi kufika, kuwa na mtoto ambaye atakuwa anawasiliana na wewe kuwa anaku miss dah raha sana, eh mwenyezi Mungu nisaidie nimpate awe ananiuliza BABAAAA UNARUDI SAANGAPI.