Ninaomba mtuwezeshe kutuma hela kwenye akaunti kwa njia ya simu na sio kutoa hela kwenye akaunti kwa njia hiyo. Narudia tena kuweka hela kwenye akaunti kwa njia ya simu, kama benki zingine zilivyo...
Mapacha waliokuwa wamezaliwa wakiwa wameshikana katika kijiji cha mbali nchini Jamhuri ya Demokrasi ya Congo, wameponea safari ya saa 15 kwa njia ya piki piki wakipelekekwa kutenganishwa.
Kisha...
Ni matumaini yangu mko poa wakuu.
Wakuu siku ya leo kiukweli kwangu mimi haijaenda vizuri kabisa baada ya kwenda kanisani kusali lakini badala ya kutoka na baraka nikajikuta natoka na dhambi ya...
Wakuu nawasalimu sana,
Miaka kama kumi iliyopita nilikuwa mmoja kati ya washiriki wa mkutano wa HEAC-higher education accreditation council ambayo ilikuwa replaced nakuwa TCU kutathmini hali ya...
Ni muda sasa kupata Driving Licence ni shida ukienda ku renew hata wale wa kupata mpya.
Unatumia risiti ya malipo ya Bank barabarani kama ushahid kwa trafiki kuwa una Driving Licence.
Hakuna...
Naandika makala hii kwa masikitiko makubwa sana maana rais wetu anahaha kila siku kuhakikisha nchi yetu inakuwa ya viwanda. Akifanikiwa itasaidia kutuweka huru na hizi bidhaa dhaifu toka nje ya...
kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv ziko 209 na za Azam TV zipo package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia smart...
Wananchi watakaobainika kutokuwa na vyoo bora wilayani Kilolo watawekewa bendera nyekundu majumbani mwao ili kuwatambua ikiwa ni mkakati wa serikali wilayani humo kukomesha magonjwa ya mlipuko...
Wakuu, katika pitapita zangu niliamua kulitazama hili suala la kuwa anonymous hasa unapotumia internet.
Kuna sababu nyingi za mtu kutaka kuwa anonymous mtandaoni, mfano kujilinda na kutaka...
Kuna mambo hayana Logic kabisa Tanzania.
1.Kutaka matajiri kuishi maisha ya taabu.
2. Kukataza mirungi na kuruhusu Sigara/pombe .."ivi ipi ina madhara" By the way zote ni faragha za mtu.
3...
Ukiangalia hakuna fani ambayo Waafrika tumebobea kama Sheria British Common law, maisha yetu yote yanazunguka hapa.
Hakuna Wanasayansi, hakuna Hisabati, hakuna Engineers lkn Wanasheria ni balaa...
Naomba mnisaidie taarifa kuhusu hizi fursa zinazotangazwa na Clouds Fm. Mambo ya muhimu ni fursa zipi zinatolewa na Clouds Fm, kama kuna gharama yoyote Ile ya kuhudhuria kwenye conference hiyo na...
Hili jambo sijui ni nani alilianzisha , kiukweli halina tija kabisa na ni fedheha kwa Taifa.
Nimeona kwa macho yangu Temeke jijini Dsm watu wasio na hatia yoyote wakikamatwa na kudhalilishwa...
Dk. Bilal ana ajenda gani?
Omar Maftah, Mkunazini, Zanzibar
Tanzania ni nchi yenye bahati nzuri ambayo inawapa wananchi wake fursa kubwa ya kuzungumza na kujadili mambo yanayowahusu wao au...
Wakuu Leo baada ya kuwasha TV na kukuta maadhimisho ya siku ya kifo cha baba wa taifa mwl J.K Nyerere basi nikakumbuka miaka 21 iliyopita ambayo ndo ilikua siku ya kwanza kuona video katika Yale...
Majenerata 7 kati ya 9 ya shirika la umeme Tanesco yameharibika, yamebaki majenerata 2 yenye uwezo wa kuzalisha 4 MW za umeme ambazo ni mdogo mno.
Mgao wa umeme umeanza rasmi Mtwara na Lindi na...