Clouds FM: Ruge asante kwa kutuelewa

Clouds FM: Ruge asante kwa kutuelewa

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,127
Reaction score
1,635
Nimesikia muda si mrefu mnapiga wimbo wa "Tanzania Tanzania Nakupenda Kwa Moyo Wote" . Hongereni sana kwa kutuelewa[emoji122][emoji122][emoji122], inaonyesha wazi kabisa Boss Ruge huwa unapitia JF na usikute ukawa JF member kwani kwa akili kubwa uliyonayo sidhani kama utakosa kuwa member JF [emoji106].

Ombi langu kama itawezekana hata kuanzia jumatatu achana na wimbo Taifa, piga wimbo wetu huu wa Tanzania Tanzania, lakini waimbaji hakikisha wanauimba "kizalendo" zaidi na sio "kisanii" zaidi, ina maana waonyeshe kwa kutumia sauti zao kweli Tanzania tunaipenda, wasirembee sana kwani wimbo huu wa kizalendo hauhitaji kuremba , huu wimbo unatukumbusha kwanini tuitwe watanzania!!

Kwanini tunapaswa kuwa wazalendo, kwanini tuipende nchi yetu. Tanzania Nchi Tamu sana!!!
Hongera sana Chief Ruge.
 
Ukiwashindwa ungana nao......
Mkuu ukiamua wew kila siku asubuh kuimba Tanzania nakupenda unakua umeungana na nani ??! Ni kuonesha kuipenda Tanzania kuliko hata mtaa ule, wanaofanya yasiyoipendeza Tanzania. Lait Tanzania siku angeweza ongea sijui angewatolea maneno gani kwa matendo yao!
 
Tanzania tanzania nchi nzuri nakupenda bla bla bla... propaganda tupu. Unaipenda vipi nchi inayotaka uishi kama shetani?? Yaani ajenda ya nchi ni kuwatesa wananchi hadi waishi kama mashetani!!!
 
Hujaelewa mantiki ya post yangu. Watu wengi walikuwa wanaiponda CMG sana. Hivi karibuni inaungwa sana mkono.
 
Tanzania tanzania nchi nzuri nakupenda bla bla bla... propaganda tupu. Unaipenda vipi nchi inayotaka uishi kama shetani?? Yaani ajenda ya nchi ni kuwatesa wananchi hadi waishi kama mashetani!!!

Tofautisha Nchi na Kiongozi wa Nchi. Naona umenipata!!! Kiongozi ataondoka ila Nchi itabaki. Love your Country!! Love Your Motherland Tanzania!
 
Ngoja kumbukumbu ya miaka 18 ya NATIONAL ICON ipite ndiyo utaelewa kwa nini wimbo huo ulipigwa na unapigwa kipindi hiki.
 
Sawa mkuu Tumekusikia na asante kwa kusikiliza Clouds Fm
 
Hakuna kitu hii radio itakufa tyu,hana coverage nyingi huko mikoani yeye ni mbwembwe tyu,hopeless kabixa
 
Ili kunogesha wimbo huu Tanzania Nakupenda, nashauri ungetumika ule ulioimbwa na Brass Band, nahisi ilikuwa band ya JKT Au Magereza Brass Band; hii ndo yenyewe.
Najua tunawapenda sana wasanii wetu wa kizazi kipya lakini kuna nyimbo hizi za kuhamasisha nationalism wanaonekana kupwaya sana; tuwaache watuimbie bongo flavor Na kutuburudisha baasi.
 
E fm wanakuja kwa kasi sn wasipowekeza kwenye weredi zaidi itakula kwao.
 
Back
Top Bottom