BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
Habari wakuu,niende kwenye mada moja kwa moja.mimi ni mtumishi wa umma katika halmashauri fulani hapa nchini.katika kuhangaika sana na maisha niliona nijiajiri pia ili niweze kupanua kipato changu.
Hivo biashara imefikia mahali fulani,kama mtumishi wa umma niliona nichukue kimkopo kidogo ili nipanue mtaji wangu wa biashara.Siku ya jumatatu ndani ya wiki hii nilikamilisha taratibu zote,nikapewa mkataba nikausaini na nikapeleka kwa mwanasheria akanisainia na kunigongea muhuli.
Nilimuuliza Afisa mikopo ni lin mkopo wangu utaingizwa? aliniambia kuwa kabla ya jumamosi ambayo ni jana mkopo ungekuwa umeingia.
Ila cha kushangaza mpaka muda huu pesa haijaingia,.
Naombeni uzoefu wenu wakuu,mlio chukua mkopo CRDB hivi karibuni hali ilikuaje.Mliingiziwa mkopo baada ya muda gani? Maana ninawaza nirudi tena benki nikawaulize kulikoni sijaingiziwa mkopo kwa muda walio niahid.
Nawasilisha.