North Korea v/s Tanzania, yupi yupo juu?

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Wanajamvi,

Nimesugua kichwa sana ya kudadavua nchi gani ambayo imeendelea kati ya Tanzania na North Korea na sijapata jibu.

Naombeni maoni yenu tafadhali.
 
waangalie hata kiuchumi hatulingani nao, maisha ya kawaida....Viwanda...Nguvu ya kijeshi...Hali ya kipato kwa watu ni tofauti na huku
Gross domestic yao umeicheki kabla hujatype hapa????? icheki then ilinganishe na ya Tanzania, Kuhusu jeshi at least wamo
 
Wanajamvi nimesugua kichwa sana ya kudadavua nchi gani ambayo imeendelea kati ya Tanzania na North korea na sijapata jibu, Naombeni maoni yenu tafadhali.

Tanzania tutakua tuko juu kwa mambo mengi.
Japo yapo mambo ambayo Serikali ya Pyongyang inatu biti:-

Uchumi mkubwa:- Tanzania kwakua hatuna vikwazo.

Jeshi lenye Nguvu:-, North korea

SIASA
Demokrasia :-Tanzania
Freedom of speech:-Tanzania.
Transparency:+Tanzania.

KIJAMII
Furaha ya wananchi :-Tanzania
Usalama WA RAIA na Mali zao:- North Korea.

Mila na desturi :-North Korea.

Research and Development :- North korea
Technology:-,North Korea
 
Back
Top Bottom