Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
Habarini wana jf
Kuna kitu huwa nakiona tu ila leo labda naweza pata ufahamu zaid kuhusu hizi chale . japo sina takwimu za kutosha lakini uwiano wa watu kuwa na chale ni wengi kuliko wasio kuwa nazo.
Swali langu, Je ni kweli hizi chale hufanya kazi ama ni tamaduni tu?