Inaonyesha Dereva wa Tundu Lissu hana elimu ya kutosha kuendesha viongozi Kiulinzi zaidi.!!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in case lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akashambuli na watu wasiojulikana.
 
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in cade lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akushambuli na watu wasiojulikana.
Huwezi jua, pengine na dereva ni sehemu ya mission hiyo ndani ya chama chao, mpango mzima!
 
Mkuu angefanyaje sasa uyo dereva,fwatilia historia ya sinkala,hakuna na jinsi
 
Kila nikitafakari na kuona jinsi madereva wa marais, makao wa Rais, waziri wakuu na mawaziri basi huwa naona uendeshaji wa Kiulinzi zaidi in cade lolote likitokea hata ile parking yao tu utaona si ya kawaida.

Na hata katika mafunzo ya udereva huwa kuna namna ya mafunzo ya kuendesha viongozi hutolewa na hasa kama madereva wa viongozi basi kuna mafunzo ya ziada hutolewa kama ilivyo kwa madereva wa viongozi.

Tukio la shambulizi la Tundu Lissu unaona mapungufu mengi katika uendeshaji wa dreva wake pamoja na viashiria vya hatari zote kwa kiongozi wake lakini hakuchukua tahadhari yoyote kiasi cha kumweka Tundu Lissu kwenye target la shambulizi.

Nina imani angekuwa na mafunzo mazuri kuendesha viongozi asingefanya alichokifanya na hatimaye kumuacha kiongozi wake akushambuli na watu wasiojulikana.
Acha Blah blah,
Wewe ungekua ndio Dereva wa Lissu ungefanyaje??
 
Back
Top Bottom