Tuwe na sheria ya kudhibiti uvaaji wa mavazi Tanzania

naughty_bee

Member
Sep 13, 2017
12
6
Munaonaje Tanzania kuwe na sheria za kuvaa nguo, kama mfano hasaa kwa wanawake iwe huruhusiwi kuvaa sketi fupi inavuka mapaja huruhusiwi kuvaa tight au leggings bilaa kuvaa kitu kinachoficha makalio yako, kuvaa t shirt inayobana mpaka chuchu kuonekana, kwa ufupi nguo zinodhalilisha wanawake, toa maoni yako na sababu zako.

nawashukuru nyote wakujiunga na mada hii kila mtu ana oppinion yake ni vizuri .
kwa wale wanopendelea kuchat online na wabongo wenzetu, sasa unaweza nime fungua chatroom ya wabongo kutoka paltalk njooni tujiunge tubadilishane mawazo pamoja kuunga urafiki ahsanteni. linki iko chini.

BONGO - Paltalk Room
 
Aaaaaaagggggghhhhrrrr

Unataka tusiwe tunasafisha macho na hali hii ilivyokaza?
 
Tupo obsessed na wanawake watavaaje. Wataolewa na nani. Wataolewa lini. Watazaa na nani. Watazaa watoto wangapi.

Let them be. Waache wawe huru kufanya wanayotaka. Kudili na sisi tayari ni stress tosha. Kama unataka kumpangia mwanamke avae nini fanya hivyo kwa familia yako usiingilie uhuru wa wengine.

Mbona wao hawalalamiki sisi tukivaa vest, kaptula n.k.

Fikra zetu zinawaona wanawake kama kifaa cha ngono. Hilo ni tatizo.
 
hii ni oppinion tu kuongelea hili ni kuwa stiri wao yaani kuwa penda kuwa jali ubakaji utapungua unajua sometimes mavazi ndio yanosababisha mwamke kubakwa
 
Munaonaje Tanzania kuwe na sheria za kuvaa nguo, kama mfano hasaa kwa wanawake iwe huruhusiwi kuvaa sketi fupi inavuka mapaja huruhusiwi kuvaa tight au leggings bilaa kuvaa kitu kinachoficha makalio yako, kuvaa t shirt inayobana mpaka chuchu kuonekana, kwa ufupi nguo zinodhalilisha wanawake, toa maoni yako na sababu zako.
Sipendi sana tight leggings. There is an argument to be made that it is assault on the senses.

Lakini, sipendi zaidi nchi kuwanyima uhuru wananchi kuvaa wanavyotaka.

Komaa nazo kiutu uzima tu utaziona za kawaida, kama hutaki kwenu mwambie mkeo, bintiyo, mpenzi wako na dada yako waache kuvaa, wakikusikiliza ushapambana na maisha yako waachie wengine maisha yao.
 
Munaonaje Tanzania kuwe na sheria za kuvaa nguo, kama mfano hasaa kwa wanawake iwe huruhusiwi kuvaa sketi fupi inavuka mapaja huruhusiwi kuvaa tight au leggings bilaa kuvaa kitu kinachoficha makalio yako, kuvaa t shirt inayobana mpaka chuchu kuonekana, kwa ufupi nguo zinodhalilisha wanawake, toa maoni yako na sababu zako.
Nani alikwambia hizo nguo zinadhalilisha wanawake? Waache wavae kadri wapendavyo
 
Nani kakuambia hizo nguo zinadhalilisha wanawake? Wew basala ya kuleta hoja ya msingi ikajadiliwa unaleta vitu ambavyo having hata umuhimu
 
Back
Top Bottom