Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bado mapaka leo tarehe 17/10/2017 wana kitongoji cha kihilira kata ya bujugo bukoba vijijini ambao baadhi yao walichangishwa sh 20,000/=kupata umeme katika mpango wa awamu hii ya tatu jana...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
yaani youtube ni kituko na ni masikitiko jamaa wanatafuta views kwa namna yoyote hatakama wanamchafua mtu hawaoni haya, je sheria za kimtandao hazifanyi kazi eti unakuta imeandikwa title kama hii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Jumamosi. Prof. Mlacha (aliyekuwa DVC Udom) anamiliki Shule ya Sekondari Alikachenje uliyopo Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro. Hii shule kwa kipindi kirefu imekuwa ikiendeshwa kisanii...
3 Reactions
47 Replies
7K Views
Wanajamvi natumai wote ni wazima buheri wa afya, kwa wale wenye maswahiba mbalimbali Mungu awape wepesi. Nimekuja na uzi huu kwa kujaribu kujiuliza kwanini jamii zetu zinapenda makelele sana...
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Huyu sijui hata anaitwaje..?
1 Reactions
0 Replies
812 Views
Manager wa mlimani city kaifunga Nakumatt suppermarket na katoa sababu ya kuifunga
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wasalaaam wana Jf Mimi ni mkaazi wa mkoa wa kagera wilaya ya Bukoba vijijini. Kuna wahamiaji watatu raia wa Uganda wanaoishi kinyume na sheria za nchi. Kibaya zaidi ni tabia zao chafu wanazofanya...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Lori lililobeba 'katapila' lagonga magari madogo 3 eneo la Mwananchi, Barabara ya Mandela na kusababisha foleni kubwa leo asubuhi.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Si vema sana mtangazaji wa TV kuwepo kwenye kipindi chako huku ukibeza vyama vingine .. Nimeliona ili Leo kwenye kipindi cha 360 baada ya mtangazaji kumuuliza kiongozi wa act agenda yenu nn Yule...
0 Reactions
4 Replies
993 Views
Watu wengi wanaoishi vijijini wapo hatarini kupofuka kutokana na kushindwa kuhudumia afya zao kwa wakati. Mratibu wa Kambi ya Macho mkoani Kilimanjaro, Mustafa Kudrat alisema wameamua kutoa...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Wakati Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza, ikipokea taarifa za makosa ya rushwa 163 kwa mwaka wa fedha 2016/17, imeelezwa kuwa vitendo hivyo vitakwamisha lengo la...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Ni miaka miwili tangu Salome Ngoma (14) alipoondoka Itigi wilayani Manyoni kuelekea jijini Dar es Salaam kusaka tiba ya maradhi ya moyo. “Nilipanda treni Desemba 26 mwaka 2015 nikiwa sijui...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Makutano yetu yalikuwa ni vichakani na alikuwa akinisubiri nikienda mashine kusaga na wakati nikitoka shuleni jioni ndipo aliponilazimisha, nimekutana naye mara nyingi tu.” Ni kauli ya mtoto wa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
mpwa wangu alikuwa na mkewe , dada yangu akamwambia lazima amuache vinginevyo ana lazi ya ya mama yake, tukamuliza kwanini akasema mkewe anamloga mwanawe, wewe umejuwaje mganga kanambia , ikabidii...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilikuwa tour last week ktk hiyo mikoa nilichokiona, sijawahi kuona mikoa yote ya Tanzania. siku ya kwanza nikiwa Lindi umeme umekatika zaidi ya mara 25, siku ya Pili nikaamkia kunako gas .nako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni tofauti sana na tunavyokufa sasa hata wale tunaoamini ndo viongozi wetu wa dini hufa vifo vya machungu na mateso. mwisho mwingi wa watumishi wa Enzi hizo ni akawa mzee akafaa baaasi. ata sijui...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani kuna wizi umetokea kwa yule mwenye namba ya sirro anipm saivi
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Hamjambo. Kwanini watanzania tumekua watu wakuiga kila kitu. Je ni kwamba hatujikubali au vipi. Mfano. Mapozi ya picha. Uvaaji na Maadili mengine mabovu. Kwann tusiige vitu positive...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza kwani naaamini wako wajuzi wa haya mambo. Mimi ni mwanaume nimezaliwa tarehe 27/7 ningependa watoto wangu wote wazaliwe tarehe 27/7 kwa mwaka...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Aise huwa naenjoy sana kuangalia hawa jamaa napata kitu kizuri kwa uchambuzi mnono. Tafuteni decoder za Azam jamani.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…