Hivi,ipo siku CCM itatoka madarakani kweli?

Hivi,ipo siku CCM itatoka madarakani kweli?

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Barabara za lami karibia 75%!

Ubora wa huduma za kijamii 75%

Ujalifu na usikivu kwa wananchi wake 100%
Kuwashughulikia wakorofi na wasaliti 2000%

Viongozi wachapakazi ambao ni zao la CCM 100%

Na mengine mengi!

Kwa sababu hizo,ITATOKEA KWELI CCM IONDOLEWE KWA KURA NA WANACHI IWAJALIO kwa kiwango kikubwa namna hiyo?!

SIDHANI!
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha
 
Haiwezi kutoka sio kwasababu ni bora sana ila kwasababu hamna wapinzani wa kueleweka...kuna wajinga wajinga tu
 
Sasa kama una hizo takwimu unatuuliza iwaje mkuu
 
Viva Lisu Viva. Mungu akiwa upande wako ni nani atasimama?????????.ooh God kweli maombi yetu umeyasikiza
 
One day CCM shall fade and crumble, yet Lissu's name will be remembered in the hearts of all who yearn for freedom...
 
Back
Top Bottom