Ni nani anasimamia upangaji wa route za Usafiri wa Dar es salaam?

Betheli

Member
Joined
Jan 8, 2017
Messages
82
Points
125

Betheli

Member
Joined Jan 8, 2017
82 125
Nakumbuka zamani alikuwepo mzee mmoja wakati wa tume ya jiji la Dar es salaam kwà Jina kama sijalikosea Mwaibula huyu mzee alihusika sana kupanga usafiri wa daladala jijini pamoja na kubuni mistari ya rangi za daladala zinazotumiwa siku hizi hata sare zinazotumiwa nà makondakta alihusika.

Sababu iliyonifanya nimkumbuke ni kutaka kujua nani anasimamia upangaji wa mabasi haya ya daladala hasa jijini Dar es salaam yuko kama Mwaibula kwa kuimudu ofisi yake au kila mwenye bus anajipangià na kusubiri kupambana na Trafic Police barabarani.
 

Forum statistics

Threads 1,391,830
Members 528,473
Posts 34,090,699
Top