Baba Heri
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,503
- 2,222
Tangu nikiwa mdogo enzi za short wave nimekuwa nikiyasikia matangazo ya idhaa za kiswahili za mashirika ya utangazaji ya mataifa makubwa kama BBC, DW, VOA, RFI, China Radio International, Radio Iran, Radio Japan n.k.
Nambeni kujuzwa je mashirika haya yanafaidika vipi kwani sijawahi kusikia wakirusha matangazo ya biashara. Je kama hawafanyi biashara wanajilipaje? Je, redio za Tanzania zinazorusha matangazo ya mashirika haya hulipwa au wao ndio wanayalipa hayo mashirika?
Ni hayo tu.