Yaani mnawakata wazee pesa zao za msaada kutoka TASAF 10000 ili waweze unganishwa na NHIF? Si wanatibiwaga bure? Iweje bima wanalipia tena mnawakata pesa ya msaada?
Niaje wakuu!!!
Leo nataka niongelee jambo hili la amani kwa muktadha huu.
Mara nyingi pia umewahi wasikia watu wakisema nimeridhika na umasikini wangu.....
Mimi huwa nikiwasikia huwa...
Maneno ya hekima huuponya moyo unaougua, hufariji waliovunjika na huwapa nguvu waliokata tamaa.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya maneno mbalimbali ya hekima “WISDOM CORNER” unaweza kushare...
Mama mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambale wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera ameilalamikia Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU kwa kushindwa kumkamata Mkuu wa Kituo cha Polisi...
Msanii bongo amwangukia Magufuli
Muigizaji wa filamu bongo Shamsa Ford amemuangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, na kumtaka alegeze kidogo kamba ili hali ya...
Natambua kuwa muundo mbinu ni kitu cha msingi katika maendeleo ,swali langu ni hili kumekuwa na sintofahamu juu ya wapi Reli hiii inapitia kiasi cha kufanya watu wengi kuwa na wasiwasi wa...
Habari wandugu,
Mungu ibariki Tanzania ,Mimi mzalendo wa nchi yangu,nashukuru juhudi za Presidaa kuzuia makinikia na kuanzishwa sheria mpya ya madini,nashukuru makubaliano ya mazungumzo ...
Miezi mitano iliyopita nilikuwa na mabishano makubwa sana mimi na Rafiki zangu. Tulikuwa tukibishana hasa juu ya wizi wa ACACIA.
Hasa tulibishana juu ya usajiri wa Acacia na Malipo ya zaid ya...
Hawa jamaa wameanzisha smartmalipo app ya android inayokuwezesha agent kufanya huduma za malipo kwenye simu yako ya kiganjani baada kuona mashine zao hazina soko tena.
Cha ajabu hajajajipanga...
Habari wana jf, aliekuwa daktari bingwa wa mifupa dr. Baki amefariki dunia nyumbani kwake kibaha kwa mathias toka siku ya jumatatu.
Dr. Baki alikua anasumbuliwa muda mrefu na maradhi ambayo...
This is one of the best set of advice l have ever read.
1. Take risks in your life. If you win, you can lead; if you lose, you can guide.
2. People are not what they say but what they do; so...
Kampuni ya Mobbet inayochezesha kamari ikiwatumia wasanii Mpoki na Kajala imelipa kodi ya sh 2.1 bil kwa kamari iliyochezwa mwezi September pekee. Hongereni wazee wa mikeka, Source ITV habari!!
Habari zenu
Information + Education = knowledge
INFORMATION; Wengi wetu tunazo,kwa mfano tunajua biashara ya kuku inalipa ila inategemea soko,upatikanaji,n.k
EDUCATION ; not everybody has...
Mbunge wa siku nyingi na mwanasiasa nguli nchini Mh Mama Getrude Mongela amesema vijana wa miaka hii wamevunja tamaduni na mila kiasi cha kuibuka kwa wimbi la kubaka,
Zamani ungeonekana kituko...
Salaam,wana jukwaa kuna jambo linaendelea huku mkoa wa Tanga,ningependa kushare nanyi pengine kuna wanaofahamu kuhusu jambo hili, iko hivi kuna watu wanashirikiana na Nmb kuzunguka mkoa mzima...
Tunaishukuru serikali kwa kumaliza utata wa mgogoro wa makinikia , ambao ulisababisha makontena kukamatwa bandarini na kuzuiwa kusafirishwa .
Sasa kwa vile makubaliano yamekamilika na Tanzania...