wanabodi habari...
husika na mada tajwa hapo juu je? natakiwa kuwa na nguzo ngapi ili niweze kupata huduma ya umeme ikiwa chanzo kiko heka 3 kutoka nyumba yangu ilipo??
Wakuu hasa wenyeji wa njia ya Dar - Arusha, naomba kujua Bus zuri (luxury) kuliko yote na la bei kubwa kuliko yote ni lipi na ni bei gani? Kwa wenyeji wa Arusha Hoteli gani nzuri ya kati ya Tsh...
Kiukwel naangalia tv hapa itv habar,watu tabora huko sjui wap,nyumba za watu maskin znabomolewa et wamejenga eneo la serikal,..yaan uwanda kama ule kwel mnabomolea watu,manataka weka nin cha maana...
Tangu asubuhi baada ya coverage ya live kutoka Kilimanjaro Makonda akipokea Magari, vipindi vya TBC ni vya ajabu sana huelewi kabisa kama kuna watu wanalipwa mishahara pale TBC .
Dah ngoja kesho...
Nauliza tu
Ile adhabu yake ya Kususiwa na wanahabari huyu makonda imeisha au bado ipo?
Naona ITV wametangaza habari ya jamaa kuzindua magari ya polisi kule Kilimanjaro
Halafu nauliza hili suala...
Utoto raha!
Imewahi kutokea, katika utoto wetu, ukajiingiza ama ukaingizwa katika majanga na watu wanaokuzunguka, ima kwa makusudi, ama bahati mbaya!
Mimi nilipatwa na kile wahenga wanasema...
Habari wakuu,
Hili jina ni la jiji kubwa kuliko yote nchini cha kushangaza ni la Kiarabu wakati nchi ni ya kiafrika tena wabantu.
Kwakweli ili kulinda utambulisho wetu napendekeza jina...
Wadau kwa Utendaji Kazi wa Dr John Magufuli Naona ni Miujiza tu ya Mola wetu Kutuletea Kiongozi wa Namna ya Kipekee ambaye Kiukweli Hata Katika Zoezi la Uteuzi ndani ya Chama Chake Hakupewa...
Majeruhi wawili wa ajali ya gari wanashikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Pwani wakihusishwa na usafirishaji wa bangi magunia 7 yenye uzito unaodaiwa kuwa Kg 7,500.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani...
Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akikata utepe jana Dar es Salaam kuashiria uzinduzi rasmi wa namba maalumu ya simu itakayowezesha wananchi kuchangia mfuko...
Kumekuwa na tatizo la kukatika umeme kila mara mfano Leo jumapili hii maeneo ya Sahare. Ukiacha hili la umeme maji pia ni shida maana kukatika asubuhi mida ya watu kuamka.
Kwa kweli ni kero.Kwa...
Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mtenga wilayani Nkasi, Leonard Mwipugi (29) amejiua kwa kujichinja koromeo akiwa nyumbani kwake.
Taarifa zilizotolewa na Mratibu wa Elimu Kata ya Mtenga, Hebron...
Salaam ndugu zangu.Poleni na majukumu ya wiki nzima.
Moshi na Arusha wanawake hasa mabinti wanapenda sana kitimoto na bia na uwe na gari aina ya subaru inaoshwa hapo nje bar au pub.
Yaani...
Starehe ipo tabata bhana.hakuna ubishi.sie huku hakuna cha vyuma vimekaza au vimelegeaa..sisi bata tuu.
Hayo mambo ya kuwa hela hakuna Sijui mjini..hayo mnayajua nyie.
Sikuwahi kujua hata maprofesa wanaogopa mitihani hadi mdau wangu mmoja alipopata fursa ya kuwaseminisha hawa jamaa wakiwa nimiongoni mwa wahudhuriaji na kutangaza kipimo ni mtihani. Tangazo hilo...
habari wadau.
najua humu kuna wataalamu wengi wa Information technology...
na hii ni digital era...internet imerahisisha mambo ndio maana kina facebook wakatajirika...
mtu kama uber tax yeye...
Ili kupunguza gharama za uendeshaji, Serikali imetangaza kuachana na matumizi ya karatasi kutoa nakala za malipo ya mshahara (salary slip) kwa watumishi wa umma.
Badala yake, Serikali sasa...
Wadau nimeona niulize swali hili,
Kihistoria wayahudi wamekuwa wakichukiwa na jamii mbalimbali duniani.
Jana tu Museum yao imeshambuliwa huko Ubelgiji.
Wayahudi wamekuwa wakipokea vitisho...
South Korea’s army told legislators on Thursday that it can quickly destroy the North’s front-line artillery systems in a war, Yonhap reported.
The country’s ground forces, in a report to the...