Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,729
- 8,807
Nauliza tu
Ile adhabu yake ya Kususiwa na wanahabari huyu makonda imeisha au bado ipo?
Naona ITV wametangaza habari ya jamaa kuzindua magari ya polisi kule Kilimanjaro
Halafu nauliza hili suala si ilibidi lifanywe na Nchemba na IGP sasa huyu bwana imekuaje kuaje kuingilia hizi mambo??