Bus zuri Dar to Arusha

Mazingira

JF-Expert Member
May 31, 2009
1,833
301
Wakuu hasa wenyeji wa njia ya Dar - Arusha, naomba kujua Bus zuri (luxury) kuliko yote na la bei kubwa kuliko yote ni lipi na ni bei gani? Kwa wenyeji wa Arusha Hoteli gani nzuri ya kati ya Tsh. 30,000 - 50,000? Natanguliza shukrani zangu.
 
basi la LIM SAFARI ni basi moja zuri mno na liko fasta 30000/=.

ila kwa hyo bei hotel huwezi pata huu mji wa kitaali utalala GEST Lakin pia sio mbaya.
 
Kwa mbali Kilimanjaro Express.. hayo mengine tupa kule

Kama uko na pesa pita juu chap na Fast Jet
 
basi la LIM SAFARI ni basi moja zuri mno na liko fasta 30000/=.

ila kwa hyo bei hotel huwezi pata huu mji wa kitaali utalala GEST Lakin pia sio mbaya.
Lina AC na choo? Guest house kwa Arusha naogopa mkuu usalama nasikia ni kidogo sana huko au?
 
tahmeed lina ac na choo.
kilimanjaro lina ac

hizo ndo basi nzuri unazoweza kupanda kwa njia hyo. huduma zao ni nzuri na hawana maudhi.
kuhusu hotel zipo lodge nzuri za bei hyo na zina usalama hapo hapo town
 
Back
Top Bottom