Habari wana JF?
Kunaswali kidogo linanichanganya ningependa kupata msaada.
Kuna karatasi za payment information unakuwa unapewa ambazo zina control number. Hizi namba ndo unakwenda kulipia bank au...
Samahanini wadau nlikua nataka kujua huduma za wajawazito wakati wa clinic zao za mwezi (vipimo wanavyopimwa) huwa ni bure au wanahitajika kuchangia??!
Nauliza hivi maana mke wang alikua akienda...
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUT anayeitwa Dotto Bulendu ambaye pia nasikia ni mwanahabari kama kawaida yake ameibuka tena kupinga hatua za Serikali dhidi ya vyombo vya habari.Hata hivyo mimi.kama...
Siku za hivi karibuni, Serikali imetilia mkazo uwezeshaji wa watanzania kumiliki uchumi wao kwa kuyataka makampuni na mashirika kujiorodhesha katika Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE). Makampuni...
MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi, ameingia katika orodha ya wanawake 100 bora barani Afrika wanaojishughulisha na utalii.
MKURUGENZI Mtendaji wa Bodi ya Utalii...
Ni kitambo kwakweli sijaona mgao wa umeme au kukatikakatika, mvua, kiangazi masika, umeme Tanzania kidogo ulikiwa stable kuliko miaka miwili Nyuma
Saizi mgao umeanza, kea wikiara tatu hakuna...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda anazidi kushika headlines kwenye vichwa vya wakazi wa Tanzania kwa mambo yake na vitendo vyake vya kupigiwa mfano anavyoendelea kuvifanya katika Mkoa...
Tafadhali sana uongozi Wa kampuni ya Dangote sasa hivI natokea tegeta njia ya bahari beach hI you gari imewashwa taa ina abiria mwanamke dereva anaendesha mwendo mwalimu sana anataka kutugeuza...
Habari zote zilizo na weredi-ITV.
Habari zote zilizo na maslahi ya nchi-ITV.
Habari zote zilizo na utashi na hamasa ktk nia njema kwa taifa-ITV.
ITV ninyi ni zaidi ya chombo cha...
Ni rahisi sana kusikia warembo na wanamitindo wa Marekani na Ulaya kujitokeza hadharani na kusema kama maboss wao waliwanyanyasa kingono walipokuwa katika harakati za maonyesho yao au tu katika...
Chonde chonde ndugu zangu kuweni makini na hili
Siku moja kabla ya kupinduka kwa mwaka kama utakutana na mtu usiye mjua amevaa nguo za kijani au nyeupe pee msikilize ushauri atakaokupa usipuuze...
Unajua wa TZ tuna kawivu fulani hivi ka asili, yaani umeme ukikatika kwako tu unatoka nje kuangalia kama jirani nae kakatiwa pia Chuoni kuna wale somasoma na wale wenzangu na mimi wavivu, basi...
huyu jamaa anajitahidi kweli kuleta maendeleo ya kweli
lakini kuna baadhi ya watu hawaridhishwi na wanapuuzia utendaji kazi wake!(magufuli)
-anajenga reli (treni ya umeme) ambayo kwa tanzania...
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imesema idadi ya meli zinazoingia nchini imeshuka kutoka 1,200 hadi 1,000 huku mapato yanayotokana na biashara hiyo yakiongezeka.
Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo...
Katika maisha ya mwanadamu kila jambo huwa lina ujumbe maalum wa funzo ama onyo.
Tukio la Lissu sio tofauti sana na mengine kwani nalo litakua limebeba mambo hayo.
Katika jamii yetu si ajabu...