Watanzania kwanini mko hivi lakini ?

Watanzania kwanini mko hivi lakini ?

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Unajua wa TZ tuna kawivu fulani hivi ka asili, yaani umeme ukikatika kwako tu unatoka nje kuangalia kama jirani nae kakatiwa pia Chuoni kuna wale somasoma na wale wenzangu na mimi wavivu, basi umeme ukikatika tu basi kuna watu wanashangilia eti bora tusisome wote!!Jamani!!
 
mimi mwenyewe ulivyokatika nikachungulia nje,kwa mbali nikaona ghorofa la Manjis taa zinawaka lakini kwingine kote giza nikafarijika!!ndio utanzania huu nadhani
 
mimi mwenyewe ulivyokatika nikachungulia nje,kwa mbali nikaona ghorofa la Manjis taa zinawaka lakini kwingine kote giza nikafarijika!!ndio utanzania huu nadhani
Shauri ya umaskini wetu ndio unatufanya tuwe na roho mbaya, sasa ngoja tuanze kuchenjua makinikia utaona tutakavyo badilika.
 
Niambie njia rahisi ya kujua km umeme umekatika kwako tu au umekatika mtaani kote..ukishaitaja nitakuelewa vizuri tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom