ITV kwa hakika mnaitendea haki nchi

ITV kwa hakika mnaitendea haki nchi

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
2,032
Reaction score
3,198
Habari zote zilizo na weredi-ITV.

Habari zote zilizo na maslahi ya nchi-ITV.

Habari zote zilizo na utashi na hamasa ktk nia njema kwa taifa-ITV.

ITV ninyi ni zaidi ya chombo cha habari!Ukiangalia kwa habari zenu za wakati huu hakika ninyi mwastahili tunzo ya kiwango cha juu!

Na Mungu awabariki sana!
 
Pia ITV habari zao wanabalanci tofauti na startv wao ni kanda ya ziwa zaidi na tbc ni kuisifia ccm na washirika wake.


startv wanakera mnoo ukienda rock city hawaangalii itv wenyewe ni star tv tu arghhh
 
ITV wapo kimataifa zaidi.Wamewakaribia CNN.
 
IPP media nzima inabadilika sikuizi.azam TV wako vizuri tatizo huwapati mpaka uwe na kisumbusi chao.
 
Back
Top Bottom