Je Warembo na Wanamitindo wa Tanzania wanaweza jitokeza hadharani na kusema kama walinyanyaswa kingono!!?

MLAU

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
4,726
3,354
Ni rahisi sana kusikia warembo na wanamitindo wa Marekani na Ulaya kujitokeza hadharani na kusema kama maboss wao waliwanyanyasa kingono walipokuwa katika harakati za maonyesho yao au tu katika mahoteli makubwa makubwa kikazi.

Je kwa watanzania wale warembo wetu na wanamitindo wetu wanaweza kabisa kujitokeza na kukiri kuwa kiongozi au boss fulani alininyanyasa kingono wakati wa harakati za za urembo au maonyesho fulani ya mavazi?
 
Warembo wengi hujiandaa kwa hiyo hali ya kuwapa waandaaji tunda ili wapewe ushindi! Watakushangaa wakisikia unataka waseme walinyanyaswa ilihal wenzio walifurahia tamu
 
Back
Top Bottom