Gari ya kampuni ya Dangote, Pick up namba T845DHC linaendeshwa vibaya

nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
895
Tafadhali sana uongozi Wa kampuni ya Dangote sasa hivI natokea tegeta njia ya bahari beach hI you gari imewashwa taa ina abiria mwanamke dereva anaendesha mwendo mwalimu sana anataka kutugeuza overtake kama lazima.

Mbaya zaidi tumefika mtongani kuna zebra crossing eneo la magazine Wa toto Wa shule wanataka kuvuka dereva Wa mbele yangu kwenye land cruise kasimama huyu bwana anaovertake Watoto wameshakanyaga zebra ikabidi wa land cruiser mbele yangu ahame Lane kum block huyu jamaa asigonge watoto bahati nilishamuona huyo mtu muda mrefu kwa hiyo nilisimama.

Hata baada ya kushusha kioo nikamwabia hili eneo la magazine usiendeshe hivyo aliniangalia kwa dharau.

Huyu dereva asiruhusiwe kuendeha gari, tuna chuki na wawekezaji wanaotuibia leo kama hili gari lingegonga mtoto nilikua tayari niteremke kujichukulia hatua
 
uandishi hauko sawa lakini una logic mkuu ...ungemsimamisha umpe mambata ya kutosha ,dawa ya kiburi ni kiburi mwenzie nadhani angejifunza huyo mpuuzi
 
Tafadhali sana uongozi Wa kampuni ya Dangote sasa hivI natokea tegeta njia ya bahari beach hI you gari imewashwa taa ina abiria mwanamke dereva anaendesha mwendo mwalimu sana anataka kutugeuza overtake kama lazima.

Mbaya zaidi tumefika mtongani kuna zebra crossing eneo la magazine Wa toto Wa shule wanataka kuvuka dereva Wa mbele yangu kwenye land cruise kasimama huyu bwana anaovertake Watoto wameshakanyaga zebra ikabidi wa land cruiser mbele yangu ahame Lane kum block huyu jamaa asigonge watoto bahati nilishamuona huyo mtu muda mrefu kwa hiyo nilisimama.

Hata baada ya kushusha kioo nikamwabia hili eneo la magazine usiendeshe hivyo aliniangalia kwa dharau.

Huyu dereva asiruhusiwe kuendeha gari, tuna chuki na wawekezaji wanaotuibia leo kama hili gari lingegonga mtoto nilikua tayari niteremke kujichukulia hatua
Kamanda umeandika kiyunani?
 
Hivi c kuna namba za sumatra wapigiwe sheria ifate mkondo mkiwalea hao mpk lije kutokea tatizo ndo muanze kulalama???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom