Funzo la kibinadamu; Tukio la Lissu

Funzo la kibinadamu; Tukio la Lissu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,101
Reaction score
51,261
Katika maisha ya mwanadamu kila jambo huwa lina ujumbe maalum wa funzo ama onyo.

Tukio la Lissu sio tofauti sana na mengine kwani nalo litakua limebeba mambo hayo.

Katika jamii yetu si ajabu sana kukutana na simulizi ya namna mtu fulani alivyoachana na tabia fulani baada ya tukio fulani kuwa turning point yake.

Kwa Lissu Hiyo inaweza kuwa ndio turning point yake ama la.

Inaweza pia kuwa onyo la yeye kubadili mwenendo wake wa awali au ikawa ni kichocheo.

Majibu ya maswali hayo ni muda; ni jambo la kusubiri na kuona.
 
Siasa huwa haiachi mtu salama na hakuna wa kukusaidia...hata Mungu huwa anakaa pembeni kwan wanaopigana kwenye siasa wengi hawamtegemei kutwa kupishana kwa waganga...mtapasuana kla mtu kivyake..pale tu linapotokea tatizo la kuathri majority ndo Mungu hutazama kwa jicho la pili...kuzuia utaratibu aliouweka ili dunia iende usivunjwe...la sivyo mtaendelea kuuana na dunia inasonga mbele
 
Katika maisha ya mwanadamu kila jambo huwa lina ujumbe maalum wa funzo ama onyo.

Tukio la Lissu sio tofauti sana na mengine kwani nalo litakua limebeba mambo hayo.

Katika jamii yetu si ajabu sana kukutana na simulizi ya namna mtu fulani alivyoachana na tabia fulani baada ya tukio fulani kuwa turning point yake.

Kwa Lissu Hiyo inaweza kuwa ndio turning point yake ama la.

Inaweza pia kuwa onyo la yeye kubadili mwenendo wake wa awali au ikawa ni kichocheo.

Majibu ya maswali hayo ni muda; ni jambo la kusubiri na kuona.

Haikuhusu, au wewe ni uncle wake Lissu?
 
Tabia ya kuongea ukwel ni mzur ila mengine vunga ukisha isoma inch yako iko vp kama mtu mwenye akili aina haja ya kubisha
 
Funzo kubwa pia hapa ni kuwa mwanadamu hapangi kifo cha mwenzake..
Hilo funzo nina shaka nalo. Biblia kwenye kitabu cha Mwanzo inaonyesha kuwa, binadamu wa kwanza kufa/ kuuawa alikuwa ni Abel na aliuawa na kaka yake Kaini. Mungu alighadhibika akampa adhabu ya kuwa wa kutangatanga..
Tusiweke mazingira ya kumsingizia Mungu binadamu wanapouana.
 
We si unaona wengi wametulia sasa..hakuna cha fatma karume, sijui hellen bisimba wala wasanii uchwara..sasa ni kimya na nchi inaenda..huyo zitto anamalizia hasira za kukimbiwa na wanachama kwa hoja dhaifu..na watu wameshampuuza hadi wanachama wenzie.. Na wameamua kumkimbia sababu wameona mpuuzi hana hoja ila anataka kusikika
 
/
Tabia ya kuongea ukwel ni mzur ila mengine vunga ukisha isoma inch yako iko vp kama mtu mwenye akili aina haja ya kubisha
Kuna watu kama Lissu wao Mungu anawaleta maalum kwa ajili ya kuwasaidia wengine ambao ni waoga kama wewe, labda na mimi. Na ukitaka kujua hilo jiulize ni kwanini pamoja na kummiminia risasi zote hizo lakini hawakuweza kuondoa uhai wake-Ni Mungu alizuia. Naamini Lissu akitoka hospital atakuwa mwiba zaidi kwa sababu kadri mambo yanavyoendelea katika nchi hii ndivyo Lissu au watu wengine wenye kufanana naye wanahitajika zaidi. Tunahitaji zaidi watu wa kueleza ukweli kwa kuwa utawala huu umejaa mazingaombwe! Unataka watu wakae kimya wasieleze ukweli kwa faida ya nani? Wewe baki na uoga wako na wala sio akili!
 
Lissu kamanda ongeza moto maradufu zaidi hata ya mwanzo...hiii serikali ya mabarazuli inatudanganya na kutuminya raia come alive
 
Katika maisha ya mwanadamu kila jambo huwa lina ujumbe maalum wa funzo ama onyo.

Tukio la Lissu sio tofauti sana na mengine kwani nalo litakua limebeba mambo hayo.

Katika jamii yetu si ajabu sana kukutana na simulizi ya namna mtu fulani alivyoachana na tabia fulani baada ya tukio fulani kuwa turning point yake.

Kwa Lissu Hiyo inaweza kuwa ndio turning point yake ama la.

Inaweza pia kuwa onyo la yeye kubadili mwenendo wake wa awali au ikawa ni kichocheo.

Majibu ya maswali hayo ni muda; ni jambo la kusubiri na kuona.
Nenda kwenye twitter ya daudi balali utapata jibu
 
Turning point ya Lissu: Ukiitisha uchaguzi wa Rais leo, wagombea wakawa JPM versus TAL, kukawa na "fare ground all round", uwe na uhakika TAL ataibuka kidedea!
 
Back
Top Bottom