Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Kalugendo (49) na mthamini wa madini ya almasi wa Serikali, Edward Rweyemamu (50), wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iwasaidie waweze kupata...
Utawasikia wakijinasibu kwa kusema wao ni watetezi wa wanyonge, lakini kwa yale yanayofanya niwe mnyonge wameyafumbia macho na kujifnya hawayaoni; They are turning a blind eye to what makes me be...
Wana JF,
Leo tumesikia Waziri Kalemani akimwajibisha meneja wa Kidatu kwa kosa la kutukosesha umeme Tanzania mzima . lakini Je, Nani wakuwajibishwa kwa kosa la kurudia madaraja ya zamani ya...
Habari wana jf naomba mnisaidie nifanye nini kuondokana na hali hii kila ninapofikiria kuhusu kifo juu yangu Siku kikifika nakosa amani nanyong'onyea Kwa kweli haya mawazo nitayapotezeaje kiaina...
Kwa wanabodi JF na Mkurugenzi Dstv;
Wapendwa kwa hali ya sasa hela ni ngumu sana matumizi yamekuwa juu kiwango kikubwa na hela haionekani. Tukiachana na malalamiko ya wapenzi wengi wa soka hapa...
1. Watu wanaofika Hospital kutembelea WAGONJWA wengi zaidi ni wanawake kuliko wanaume... hata nikiangalia ndugu wa mgonjwa mmoja mmoja...
2. Hata ndugu wanaosindikiza wagonjwa hospital wengi wao...
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani,imewachukulia hatua ya kinidhamu kwa kuwafukuza kazi watumishi 28 kwa makosa ya utoro kazini, kughushi vyeti na upotevu wa mali...
Serikali hili kweli imechemsha na kuacha majonzi kwa maskini kuwa ubomoaji wa nyumba unalenga matajiri waliowaibia viwanja maskini ilihali unafanya tofauti na sera yako.
Kilichotokea Tabora kwa...
Kwanza napenda kutoa pongezi za dhati kwa Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa mabadiliko makubwa uliyoweza kuyafanya katika kipindi kifupi cha uongozi wako.
Malalamiko yangu ni...
Wakuu Salam,
Nahitaji magunia ya kubebea nafaka. Naomba kwa mwenye mawasiliano na kiwanda kinachozalisha haya magunia ya katani awasiliane na Mimi PM.
Ni urgent mno wadau.
Tafadhalini.
Habari wana jamvi ..
Nimefikiria hapa kama ningepewa chance ya kurudi miaka 10 iliyopita, na kupewa sekunde 30 tu za kujishauri, ningejiambia nini .
Binafsi mimi kama ningerudi miaka 10 nyuma...
Hivi kama madereva wa boda na bajaj zenu wanafanya hivi...
Kweli mtakubali kulipa faini zao?! Wenzao wanafuata sheria na taratibu bila shuruti, wao wala hawana muda! kweli akili zao zinakwenda...
Habari zenu wapendwa katika bwana. Jamani nina shda sana na anointing water kutoka SCOAN, kama yuko mtu ashawahi kwenda kwa T.B Joshua akapewa naomba anisaidie japo few drops I'll mix it with...
Kwangu mimi huu ujinga mkubwa sana kufungia Magazeti, kwa nini msiwapige faini na kuwaacha waendelee na kazi?
Kwa mfano Gazeti au chombo chochote cha Habari kikitoa Habari ambazo kwa mujibu wa...
Wito huo ulitolewa na mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema aliyeenda eneo hilo juzi asubuhi kuzungumza na wananchi waliofunga barabara na kuandamana kupinga uovu huo wa askari.
Dar es Salaam...
= Ndege imepoteza dira.... ikaanguka na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Mungu.
= Gaidi kaiteka ndege..... akailipua angani na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege...
Niliandika kuhusu wizi wa vipuli vya magari ulivyoshamiri hapo zamani kidogo, serikali kama ikasiliza kilio cha wananchi wake sana sana wa Dar es salaam, kupitia mkuu wa mkoa wa Dar es salaam...
Hakika elimu nu jambo la msingi kwa watoto wote bila kujali jinsia ya mtoto.
Lakini cha ajabu watanzania wengi hususana jami ya wakulima na wafugaji walioko vijijini hawawapeleki watoto shule...