Maajabu ya mmea bangi usiyoyajua

watu wana ugwadu aisee...hahaha huyo hata mbuzi akijitegesha anamgonga
 
Nakumbuka zama hizo, kabla shule ya sekondari Benjamin haijajengwa, pale shule ya Uhuru. Kuna waganga walikuwa wanarubuni watu kwamba hela zitaongezeka. Wakawa wanakusanya nyomi.

Nilishuhudia kwa mara ya kwanza, dume likifanya hivyo. Tena yule jamaa alikuwa kabisa anakata kiuno. Nadhani alikojoa. Nilishangaa sana.

Baada ya zama za internet kuingia, nikagundua kumbe hilo ni pepo la dunia zima. Hii kitu inaitwa groping. Kwenye treni na mabasi dunia nzima inatambulika. Tena wanaume wenzetu wa dunia ya kwanza, huwa wanatoa kabisa mb.... Na kuisugua kwa mwanamama.

Wengine huenda mbali zaidi na kutoa mb.... Kwenye bus na kuichezea ilimradi mdada aliyekaribu aone.

Baada ya tatizo kuwa kubwa, Japan imetenga mabehewa ya kike tu wakati wa rush hour, kuepuka hii kadhia.
 
Back
Top Bottom