edson msafiri ogweno
Member
- Sep 20, 2017
- 5
- 5
Hakika elimu nu jambo la msingi kwa watoto wote bila kujali jinsia ya mtoto.
Lakini cha ajabu watanzania wengi hususana jami ya wakulima na wafugaji walioko vijijini hawawapeleki watoto shule bado, wanawekwa na kazi za nyumbani na wengine kuchunga ngombe, hili lipo sana kijiji cha kasigiri kata ya ilola .
Kwakweli huko utakutana na watoto wa kike wakiwa majumbani, kwenye kilimo na wengine wakiwa majumbani hawajui hata hatima yao ya kesho. Jamani wanajukwa wenye nia njemaa naomba tulione hili kama jtatizo la wote.