elvee
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,109
- 1,631
1. Watu wanaofika Hospital kutembelea WAGONJWA wengi zaidi ni wanawake kuliko wanaume... hata nikiangalia ndugu wa mgonjwa mmoja mmoja...
2. Hata ndugu wanaosindikiza wagonjwa hospital wengi wao ni wanawake zaidi
3.Hata wanaotembelea wagonjwa wa kiume wengi ni wanawake kuliko wanaume wenzetu.
4. Ni kawaida kukuta mwanamke anamhudumia hata kumsafisha mgonjwa jwa kiume... ILHALI mwanaume kumsafisha mgonjwa hata awe wa kiume au wa kike kunakuwa na kujishauri sana. Unaweza ukakuta mwanadada anamsafisha Baba yake... wakat huo huo huyo Baba anao watoto wa kiume wakubwa kabisa...
HHali hii hunifanya nizidi kuwaheshimu Wanawake. wanawake wana kitu cha kipekee walichopewa na Sisi wanaume hatuna.
Credit - Paul Matemu