Haya yote huwa ni mapenzi ya Mungu? Au shetani naye anaweza kuhusika?

Tyrone mofekeng

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
694
609
= Ndege imepoteza dira.... ikaanguka na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Mungu.

= Gaidi kaiteka ndege..... akailipua angani na kuua watu wote waliokuwamo kwenye ndege hiyo, Mapenzi ya Shetani?

= Gari limeacha njia... likavamia nyumba na kuua watu waliokuwamo kwenye nyumba na kwenye gari, Mapenzi ya Mungu.

= Watu wasiojulikana wakiweka vigogo vikaparamiwa na gari ikaacha njia na kuvamia nyumba ikaua watu ni kazi ya Shetani?

Kuna muda Shetani anaweza kufanya kazi za Mungu?
Sometimes life is meaningless. Confusing. If we live once... shouldn't we be happy. I don't know... but happiness can sometimes be sin. And sinners belong to hell. And life in hell is endless. It's forever life.
 
Back
Top Bottom