Mimi na ussm wangu..! Sikuungi mkono ng'oo..! Utakuwa unaumwa ugonjwa wa akili wewe hivi uliwahi kutafakari Tanzania ingekuwaje chini ya wabunge pekee wa ccm??H.Mdee ni dowa Kawe, hivyo nimeanza kufadhili Wanasiasa ambao watamtoa.
Halima anza kutafuta ajira kabisa kwani 2020 ndiyo mwisho wako, ...
Hahaaa kapuku kwa hali yenu lumumba hata nguvu ya kupiga kampeni hamna yani njaa ya mfukoni mpka tumboniH.Mdee ni dowa Kawe, hivyo nimeanza kufadhili Wanasiasa ambao watamtoa.
Halima anza kutafuta ajira kabisa kwani 2020 ndiyo mwisho wako, ...
Anza kufadhili ww kutolewa JF maana huna faidaH.Mdee ni dowa Kawe, hivyo nimeanza kufadhili Wanasiasa ambao watamtoa.
Halima anza kutafuta ajira kabisa kwani 2020 ndiyo mwisho wako, ...
Kwani amekuambia anataka kugombea tena?!! Kasesera anapiga jalamba kutwaa jimbo!H.Mdee ni dowa Kawe, hivyo nimeanza kufadhili Wanasiasa ambao watamtoa.
Halima anza kutafuta ajira kabisa kwani 2020 ndiyo mwisho wako, ...
Sisi wakazi wa Kawe ndio tutaamua sio vingine..Halima Anatutosha
Well tukishakua watu zaidi ya mmoja unaruhusiwa kutumia wingi... Hutaki unaacha!Sema Mimi ( yaani Wewe ) Mkazi wa Kawe ndiyo nitaamua sio vingine na usitusemee wana Kawe wote kwani kuna wengine ni wana Kawe lakini wala hatujishughulishi na hizo Siasa zenu za ' maji taka '.
Well tukishakua watu zaidi ya mmoja unaruhusiwa kutumia wingi... Hutaki unaacha!
Wewe ndio unawashwa.. Nimesema hutaki una acha!Sidhani kama Wana Kawe wamekutuma uwasemee sana sana naoa kama vile ' unawashwawashwa ' tu na kuwa na ' kiherehere ' Kingi.