Kwa wamiliki wa Boda na Bajaj

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
452
624
Hivi kama madereva wa boda na bajaj zenu wanafanya hivi...
DNDrJBBW4AoiOfp.jpg


Kweli mtakubali kulipa faini zao?! Wenzao wanafuata sheria na taratibu bila shuruti, wao wala hawana muda! kweli akili zao zinakwenda kinyume ...
Mwigulu Nchemba na Trafiki polisi wanaomba waendelee kuvunja sheria, mapato ya ubwete na ya uhakika..
 
Back
Top Bottom