Gazeti la Mwananchi lijifunze kutoka Tanzania Daima!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,035
28,201
Kati ya magazeti yanayotoa maboko ya kitakwimu ..gazeti hili la mwananchi lipo kwenye list yangu.

Napenda kuwatahadharisha na wajirekebishe isije siku wanafungiwa wakaanza kulia kuwa uhuru wa vyombo vya habari unaminywa.

Gazeti linafungiwa kwa upotoshaji wake wa mara kwa mara na si vinginevyo .Wahariri wanapaswa kuwa na weledi.
 
Aisee! Mpumbavu mmoja with hidden ID naye anatishia chombo cha habari! This is insane!
Sitishii bali naonya gazeti hili na mwisho wa siku facts zitaonekana kama ilivyotokea kwa Tanzania Daima
 
Hivi Unajua Mmiliki Wa Gazeti La Mwananchi. Kama Hujui Ndo Wenye Benk Ya Dtb, Ndo Wenye Hosp Za Aga Khan , Ndo Wamiliki Wa Gazet La The Citizen Jamaa Wana Vitega Uchumi Vingi Tz That Y Wanajiamini
 
Mimi Nalionya Lile La Freedom!! Yeye Ni Mtoto Wao Lkn Kuna Siku Atanyea Mkono Halafu Baba Anaukata!! Halafu Wakitaka Wafungie Yote Fresh Tu Kwani Mange Kimambi Si Yupo?! Mbona Vya Habari Vipo Vingi Tu?
 
Hivi Unajua Mmiliki Wa Gazeti La Mwananchi. Kama Hujui Ndo Wenye Benk Ya Dtb, Ndo Wenye Hosp Za Aga Khan , Ndo Wamiliki Wa Gazet La The Citizen Jamaa Wana Vitega Uchumi Vingi Tz That Y Wanajiamini
Haijalishi mkuu..!wakikengeuka wataadhibiwa vilivyo..sheria ni msumeno
 
Kati ya magazeti yanayotoa maboko ya kitakwimu ..gazeti hili la mwananchi lipo kwenye list yangu.

Napenda kuwatahadharisha na wajirekebishe isije siku wanafungiwa wakaanza kulia kuwa uhuru wa vyombo vya habari unaminywa.

Gazeti linafungiwa kwa upotoshaji wake wa mara kwa mara na si vinginevyo .Wahariri wanapaswa kuwa na weledi.
Lifungie hata leo, mpuuzi mkubwa wee
 
Ni kweli tuliona ule uvundo wa juzi wa tanzania daima hata yule ajuza wa haki za binadamu alishiriki kusema bila aibu!
 
Kati ya magazeti yanayotoa maboko ya kitakwimu ..gazeti hili la mwananchi lipo kwenye list yangu.

Napenda kuwatahadharisha na wajirekebishe isije siku wanafungiwa wakaanza kulia kuwa uhuru wa vyombo vya habari unaminywa.

Gazeti linafungiwa kwa upotoshaji wake wa mara kwa mara na si vinginevyo .Wahariri wanapaswa kuwa na weledi.
Nalo liko kwenye magazeti yayopashwa kufungiwa mkuu?
 
Mnatabia za kishetani kabisa.mnataka mfungie magazeti yote yanayoandika msichopenda?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom