Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watanzania tuukatae huu ubaguz wa kuwapendelea wageni huku wenyeji tukikandamizwa! TRA wamekuja ofcn kwangu na kunikadilia mapato ya million 3 kwa mwaka, wakati uwezo wa hiyo hela sina. Ni kweli...
17 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wana JF Niko sehemu hapa ninapata balimi inayotoka jasho nikijivunia kuwa mtanzania. Nawaza kwa maandishi namna gani pale pombe inapokua imekaa sehemu yake kichwani ujasiri unaongezeka na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Jamani mimi nina swali, Hivi mpaka uwe na uhalali wa kuchinja mnyama, mpaka uwe umetahiriwa, uwe muislam au kama ni muislamu halafu hujatahiriwa pia unaruhusiwa?
0 Reactions
38 Replies
5K Views
China taifa lililo Mashariki ya mbali lenye uchumi unaokuwa kwa kasi na kuwa miongoni mwa mataifa duniani yenye ushawishi mkubwa katika diplomasia ya kimataifa. Mafanikio ya kiuchumi ya Jamuhuri...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
CloudsFM Radio Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi nimetumia muda mwingi kutafakari ni kwa nini sisi watu weusi tunabaguliwa na Wazungu pamoja na kabila zingine zisizo za kiafrika, na bado sijapata majibu kwa kweli. Tuliona ubaguzi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimepata taarifa Jangwani Kuna vurugu tafadhalini mliopo jirani na hapo mtujuze kinachoendelea. Wanataka kubomoa nyumba za bondeni, vijana wanarusha mawe vibaya. Kama unaelekea au kutoka mjini...
3 Reactions
89 Replies
18K Views
Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema hadi sasa watu wanne wamekufa kufuatia mvua iliyonyesha jana Chanzo: Mwananchi
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Swali jamani kwa walio na ujuzi wa costs za Storage ya makontena kwenye hizi private storage facilities Mpaka sasa Serikali itakuwa imelipa kiaso gani kwa kuhold hayo makontena ya Acacia?? Maana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukielewa vyema kabisa maana halisi ya ' Mchambuzi ' utagundua ya kwamba ni Mtu ambaye analifanyia ' tathmini ' ya kina jambo fulani au tafakuri tunduizi jambo fulani bila kuegemea / kulalia upande...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Kumekuwepo na kawaida ya kutokea msongamano na foleni kubwa ya abiria hasa kwa nyakati za asubuhi sababu ikiwa ni uchache wa wakatishaji tiketi kulinganisha na wingi wa abiria wanaoshuka kwenye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya habari zilizoenea hivi juzi kwamba Manji anataka kuinunua Nakumatt supermarket kwa hapa Tanzania. Uongozi wa Quality group umefunguka na kusema kuwa ni kweli kuna mazungumzo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu wasiojulikana huko katika kijiji cha Kiyombo kata ya Kipili wilayani Sikonge mkoani Tabora, wametelekeza silaha za moto saba ikiwemo moja ya kivita aina ya SMG na Magazine yake, ambazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanza niwapongeze sana vijana na watu wote mliyofanikiwa kudahiliwa katika kujiunga na masomo ya juu katika vyuo mbalimbali Kwa mliyobahatika kupata mkopo niwashauri kuja na nguvu binafsi yaani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Khamisi Kigwangala ameagiza kusitishwa mara moja kwa operesheni ya kukamata mifugo katika pori tengefu la Loliondo sambamba na kuiachia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya Nyangumi kitu cha pili kinachofuata kwa kuwa na sauti Kali inayosafiri kwa umbali mrefu ni Jet engine Ndege yenye engine ya jet huwa na sauti Kali sana ambayo inaweza kabisa kuharibu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya imekamata jahazi katika pwani ya Bahari ya Hindi, maji ya upandewa Tanzania linalosaidikiwa lilikuwa likisafirisha dawaza kulevya kuja Tanzania , Jahazi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nashangaa kwanini TCU haikufanya research kwa ajiri ya hii system. *TCU ilitakiwa kushirikisha wadau wa elimu kwanza ili kusudi tuone kama hiii system haita athiri upande wowote sasa hivi vyuo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi Nimekuwa na msururu wa watu kadha wa kadha wananiita boss, kuanzia nyumbani mtaani mpaka ofisini, wakati mwingine naona ghasia na kwamba sistahili kuitwa boss hasa kutokana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…