Serikali inapokaribisha njaa na umaskini;

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
CloudsFM Radio
Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo ndani ya hifadhi.
Zoezi la kuwaondoa wananchi hao kwenye maeneo ya hifadhi za misitu limeanza mwezi September mwaka huu likiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Geita, Mwl Herman Kapufi pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo na wakala wa misitu, TFS.
Akizungumza wakati wa kuondoa mazao kwenye msitu wa Geita, Mwl Kapufi alisema lengo la serikali ni kuhakikisha misitu yote iliyo chini ya wakala wa Misitu nchini na ile ya Halmashauri inalindwa na kuendeleza uoto wa asili. Cc: MADUKA ONLINE.
22885916_1621781144531964_511181081354281893_n.jpg

Mawazo yangu;Mi nadhani wangeachwa wavune ndo watimuliwe kuliko kuua nguvu zao za moez karibu mi4
 
Hapo utakuta na mbolea waliuziwa na si ajabu na wataalam wa kuwasaidia kilimo bora walipelekewa..
 
CloudsFM Radio
Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo ndani ya hifadhi.
Zoezi la kuwaondoa wananchi hao kwenye maeneo ya hifadhi za misitu limeanza mwezi September mwaka huu likiongozwa na Mkuu wa wilaya ya Geita, Mwl Herman Kapufi pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo na wakala wa misitu, TFS.
Akizungumza wakati wa kuondoa mazao kwenye msitu wa Geita, Mwl Kapufi alisema lengo la serikali ni kuhakikisha misitu yote iliyo chini ya wakala wa Misitu nchini na ile ya Halmashauri inalindwa na kuendeleza uoto wa asili. Cc: MADUKA ONLINE.
View attachment 618382
Mawazo yangu;Mi nadhani wangeachwa wavune ndo watimuliwe kuliko kuua nguvu zao za moez karibu mi4
Acha ifanye hivyo, yenyewe ishajipambanua kuwa ni ya wanyonge, iwatajirishe itamtawala nani?
 
Back
Top Bottom