Habari.
Nimetokewa na hali isiyokuwa ya kawaida,kwa Mara ya mwisho nililipia king'amzi mwezi uliopita,Na mwezi huu nikiwa kwenye harakati za kulipia upya,ile nawasha TV nakuta channel zote...
Wakuu!
Kwa muda mrefu nimekuwa mfuasi mzuri sana wa mtandao huu.
Hivi karibuni niliamua kujiunga na kifurushi pendwa cha HALICHACHI,ili kinisogeze siku mbili tatu.
Lakini cha ajabu muda wa...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe amefunguka na kusema kuwa Mzee Majuto amedhulumiwa pesa milioni 25 na kampuni ya filamu ambayo jina lake amelihifadhi na kudai...
Shahidi: Tuliahidiwa milioni 17 kila mmoja kumuua Msuya
Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imeelezwa kuwa washtakiwa katika kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya waliahidiwa kiasi cha shilingi milioni...
RADI imeua ng’ombe 10 na kumvua mwanamke koti alilovaa katika kitongoji cha Itandora wilayani Tarime mkoani Mara, Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Elias Matto aliliambia gazeti hili kwa simu jana...
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini imeonya kutakuwepo na mvua kubwa maeneo ya Kanda Magharibi na Kanda ya Ziwa Victoria itakayonyesha ndani ya kipindi cha kuanzia kesho hadi Jumapili.
Mvua hizo...
Kwa mujibu wa utafiti Tanzania inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa watu wanao amini katika ushirikina ambapo ni zaidi ya asilimia 80
Ikifatiwa na Rwanda, na Nigeria.
My take: Watanzania tubadilike...
Dk Mwaiselage amesema baada ya upimaji huo majibu atakayoyapata mpimwaji itategemea kama ana dalili za tezi dume au hana, iwapo hana dalili atapewa ushauri arudi baada ya miaka miwili, na kama...
Kila kona ya nchi hii hukosi kusikia malalamiko ya kero mbalimbali lakini ukizichunguza na kuzifuatilia kiundani kero hizo utakuta chanzo ni wanainchi wengi kfanya mambo yao kwa kutofuata sheria...
Wakuu vyuma vimekaza,nmeambiwa kuna yard hapa dsm wanauza magar kwa bei ya kutupa,ila huyo alienambia nae kaambiwa ila hajaijua bado ni yard gan,..naomben msaada kama kuna mtu anajua inaitwaje na...
Ni ajabu kilichomchukuwa Muzungu zaidi ya miaka 1000 kukijenga, Mwafrika anafikiri anaweza kukijenga ndani ya miaka 50, acheni kujidanganya Afrika na sisi Waafrika siyo Wazungu na hatuwezi kuwa...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga, amewataka wananchi wa Kitongoji cha Situbwike ambao wamevamia Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kuanzisha shughuli za kibinadamu kinyume cha...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) Bw. Masanja Kadogosa akielezea jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) wakati wa ziara...
Wakuu,
Naomba kizalendo tuliangalie hili, hivi ni sahihi kambi JWTZ kukosa umeme ni sahihi?
Haijalishi TANESCO wanaweza kuwa na mgao/grid kukorofisha lakini hili ni sahihi?
Naandika hivi wakati...
Pediatrician maarufu wa kimarekani Dr. Brazelton alifanya utafiti kwa kuwarekodi kinamama wakiwa wamewapakata/kuwashika watoto wao wakiwanyonyesha,kila mmoja kwa staili yake.
Miaka 20 baadaye...
Najua unaweza kushtuka baada ya kusoma kichwa cha habari,lakini huo ndiyo ukweli wa mambo yanayoendelea kwenye ulimwengu wa giza,kuna mengi ya kutisha na kusikitisha yanafanyika
ungana nami...
Kamanda wa Polisi kanda maalum Dar es Salaam anasema;
Ndugu zangu wanahabari nimewaita mchana huu ili niweze kutoa taarifa moja tu inayohusiana na kanda maalum ya Dar kulaani vikali maauwaji ya...
Leo wakat niko kijiwen yalizuka mabishano kuusu mambo ya kichawi... watu walikuwa wanabishana... kwamba ukilala bila ya kuzima taa basi mchawi hakugusi...je wakuu kuna ukweli apo?
Mkuu wa mkoa wa mtwara Halima Dendego ametoa saa 24 kukamatwa kwa wanakijiji waliompiga mtendaji wa kijiji cha Remisule wilaya ya Nanyumbu Swalehe Kassimu, aliyekuwa akihamasisha wananchi...