Inspection za Polisi wa barabarani !


B

broda

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Messages
247
Likes
146
Points
60
B

broda

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2011
247 146 60
*Inspection 1*
1.License
2.Insurance
3.kwenda kwa usalama
4. Fire extinguisher
5. Triangle

*Inspection 2*
1. Front Lights
2. Parking Lights
3. Break Lights

*Inspection 3*
1. Car colour
2. Dents
3. Car seats

*Inspection 4*
1. Inside Bonet (kama uko natatizo ndani ya bonet yako fix now) hii ni mpya kabisa bado iko ya moto kwenye inspection mpya. Be safe, travel safely

Wanabodi, hii nimeipata, je kuna ukweli?
 
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Messages
13,338
Likes
17,330
Points
280
Age
18
swissme

swissme

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2013
13,338 17,330 280
This is toooooo much


Swissme
 
Angry Bird

Angry Bird

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2016
Messages
514
Likes
469
Points
80
Angry Bird

Angry Bird

JF-Expert Member
Joined May 3, 2016
514 469 80
Kama ni hivi kale kaserere kangu kameshafeli kabisa kwa zile dents sioni nikifaulu.
 
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Messages
1,789
Likes
235
Points
160
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined May 11, 2009
1,789 235 160
Wenye magari binafsi wajipange, wasiendeshe magari kwa wiki mbili hivi. Tuone nani anapata hasara zaidi. Huu ujinga umezidi wa kukaguana mpaka kwenye boneti. Too much.
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
28,375
Likes
15,403
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
28,375 15,403 280
NA FOLENI HII KUKAGUANA TENA SI NDIO KUTIANA UMASIKINI KWENYE MIDA KAMA HIII
 
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
1,893
Likes
3,928
Points
280
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
1,893 3,928 280
itaongeza mapato ya nchi
 
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
30,598
Likes
17,426
Points
280
mrangi

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
30,598 17,426 280
Wenye magari binafsi wajipange, wasiendeshe magari kwa wiki mbili hivi. Tuone nani anapata hasara zaidi. Huu ujinga umezidi wa kukaguana mpaka kwenye boneti. Too much.
Bora Magari wapaki tu ........askari tutaona wata survive vp......maana huko ni kukomoana tu

Ova
 
N

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Messages
702
Likes
777
Points
180
N

NONIYANG'WAKA

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2013
702 777 180
rekebisheni wadau gari zenu.

huwa nafurahi sana nikiona wadau mnasukuma ndinga
 
M

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
2,847
Likes
2,631
Points
280
M

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
2,847 2,631 280
Kumiliki Gari Bongo ni Anasa...
 

Forum statistics

Threads 1,235,910
Members 474,863
Posts 29,240,285