1.Kwanza jitaidi sana usiwe mchoyo wa knowladge ulionayo kwa wenzio kuwa muwazi pengine unaweza ukawa una tango umekaa nalo..
2.Jitaidi sana kuwa mtu wa practical sana na kujipangia project...
Katika kukabiliana na habari za uongo zinazosambazwa katika jamii, Watanzania wametakiwa kutumia taarifa zilizothibitishwa na vyanzo vya habari vinavyotambulika kisheria.
Kutokana na kukuwa kwa...
LEo ninaleta hoja katika mfumo wa swali. Kila kona sasa hivi imeonekana na tunajadili kwamba wawekezaji wengi ni wezi. Wanatuibia rasilimali zetu. Anaiba kwa miaka mingi lakini kuna watanzania mle...
10/25/2017 Source: Jenny Ellen Brown
Sometimes African service, outside the realms of a five star resort, can be incredibly frustrating. Nowhere is this more true than the train wreck that is...
kutokana na faida za mti wa mlonge nilizo zisoma humu ndani, hivyo nimehamasika na dawa asili zitokanazo na mti wa mlonge. Nana imani kupitia tiba hii nitapona maladhi yangu yanayo nikabiri. Ivyo...
Mapema jana mbele ya waandishi wa habari mkurugenzi wa kituo cha Taifa TBC alipasua jipu mbele ya waziri Harisson Mwakyembe la kwa nini TBC ailushi habari za vyama vingine wakati ni television ya...
Wadau, wote tunafahamu kuwa, Serikali(Rais)ilitangaza kuwa, kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi, itakuwa ni siku ya usafi kitaifa.
Wananchi, wakalipokea agizo hili, kwa mikono miwili. Lakini...
Salamu sana wana JF,
Naweza sema mimi ni mshamba wa kutumia lift za ghorofa.Juzi nilipanda hadi ghorofa ya 5 wakati lift ilikuwepo.
Hivyo wale mnaofahamu juu ya kutumia hizi lift naomba mnijibu...
Ndugu ukiona kiongozi msomi anakwambia hakuna jipya jaribu kufatilia kwanini anasema hayo?
Serekali italipwa zile 300M Dolla, ila kwa awamu,,, trust this, kampuni mpya itayokuja ku replace Acacia...
Nimepanda basi la hii kampuni, wakati ninakata tiketi jana walinihakikishia kwamba lina kiyoyozi lakini baada ya kuanza safari mpaka sasa hawajawasha kiyoyozi. Ukiwauliza wanasema watawasha lakini...
Mmiliki wa Amazon awa wa kwanza duniani kwa kufikisha zaidi ya Dollar Bilion 90
Hii ni sawa na trilioni 200
Ambazo ni sawa na bajeti ya Tanzani kwa miaka 6
Tulichukulia bajeti ya trilioni 30 kwa...
Kwanza natoa Pongezi kwa NIDA kwa kunipatia Kitambulisho cha Taifa, na mimi nawatakia kazi njema sana na Mungu awabariki sana maana katika kazi njema lazima Mungu ajitukuze. Ni haki yangu kukitoa...
Wakuu habari zenu
Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa...
"Una BONUS ZA MB 125! Jiunge sasa na kifurushi cha Internet Mwezi cha MB 500 @8000Tsh kupokea BONUS.Piga *148*00# Vifurushi vya Internet Tu Wiki"
Hii ni moja ya sms inayonisumbua zaidi katika...
Je wajua kuna watu 7 pekee duniani wenye funguo za kuanzisha internet upya duniani iwapo kukitokea tukio lolote litakalo sababisha janga kubwa duniani ambalo linaweza zima mtandao.
Programme hii...
Kwa heshima kubwa kuwaomba watumishi wa idara hiyo muhimu kutoa haki sawa kwa waajiri na waajiriwa ,hii tabia ya kuegemea kwa waajiri ni kuwakatisha tamaa watumishi hasa wa sekta binfsi na kuanza...
Radi imeua ng'ombe 10 na kumvua mwanamke Koti alilovaa katika Kitongoji cha Itandora wilayani Tarime mkoani Mara, mwenyekiti wa Kitongoji hicho Elias Matto ameliambia gazeti hili kwa njia ya simu...
Haiwezekani Umeme bado unakatikakatika halafu bado hatuambiwi hasa tatizo ni nini! Mfano huku kwetu kwanza tulikaa gizani kwa siku 2 mfululizo(masaa 48) baada ya muda ndio ukarudi, tulikaa nao...