Hata kama huwezi kusikia hata kuona Jamani huoni?
Nyarandu move is a massive move!!! People, Leaders, Politicians, Business people are tired!!!
Let wait and see!!
Makada wengi wa CCM wapo kimya wanasubiri 2020 kuamka katika medani za siasa wakina Sophia Simba na wengineo natabiri 2020 kwa mwenendo wa Rais Magufuli kwa mwenendo wake wa kupendelea baadhi ya...
Kwa wakazi wenzangu wa Ukonga nawapa taarifa mbaya kwetu
Kama bado hujavuka usawa wa magereza either kwenda Banana na kuendelea au hujavuka Magereza kwenda njia ya Mombasa to Gongo la Mboto basi...
Asilimia 70 ya vijana wengi waliomaliza chuo na shule ambao hawakupata nafasi ya kuajiriwa wengi siku hizi wamejiingiza katika biashara hii ikiwa kama plan B.
Sasa shida inakuja kwa hawa TRA...
kiukweli wazungu ni mizigo katika swala la kutikisha mauno yao, huwa nahisi hata ukimpeleka kunako 6x6 atakukingia tu. Nimeamini baada ya kuona jamaa likizungusha kama demu wa kizaramo wakati...
Niseme tu kwamba hakuna ulazima wowote wa kutaka kumuiga Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere jinsi ya kuhutubia hadhara bila ya kusoma mahala popote. Binadamu tunatofautiana sana tu na ikumbukwe...
Ikiwamo kufanya biashara ya meno ya tembo yenye thamani ya Sh. bilioni 13 inayomkabili raia wa China, Yang Feng Glan 'Malkia wa Tembo' hadi Jumanne ijayo baada ya shahidi kuugua.
Jana kesi hiyo...
Wakuu kweli siasa ya nchi yetu imefikia sehemu mbaya mno siasa ya nchi hii imegeuka uadui hata ktk majanga ya kijamii yanayowakumba baadhi ya wabunge na watendaji wa serikali yetu mfano mheshimwa...
Diwani Wa kata ya Charambe bw. Abdallah Chaurembo ambaye hapo awali aliamua kuipa jina lake (ZAHANATI YA CHAUREMBO) zahati iliyojengwa kwa michango ya wananchi Wa kata hiyo; Ameamua kubadili jina...
Tanzania bado tuko nyuma sana katika mambo ya muhimu kama elimu,afya na technologia... kuweka nguvu nyingi kuhamasisha nchi ya viwanda naisi si wakati sahihi kufanya ilo,,,, bado tunatakiwa...
Wakuu mbalimbali,
Nilikua napitapita mtandaoni kuangalia habari za juu kwenye magazeti ya kila siku. Nimegundua kwamba, angalau kila gazeti (ukiondoa ya michezo nk), limepambwa na habari...
Tukitafuta hapa (Jukwaani hususani jukwaa la Nafasi za Kazi na Tenda) house girls salary Tshs. 50,000/= huwa panajaa povu ile mbaya.
Watu wanaanza kusema "Mtoto wa mwenzio umfanyishe kazi halafu...
Ni ukweli usio na shaka kwamba kuondoka kwa Nyalandu ni pigo ndani ya CCM. Style yake ya ghafla sana imewashtua wengi, na ni style nzuri sana kisiasa kwa sababu unakuwa huwapi nafasi unaowaacha...
Napata wasiwasi na mwenendo wa chama cha mapinduzi ktk awamu hii ya tano. Hali ndani ya chama hiki bila shakai ni tete sana.
Katibu mkuu wa chama hiki kongwe amejitenga nacho na sasa yupo kimya...
Mheshimiwa mkuu wa mkoa pole sana na majukumu ya kila siku. Huku kwetu mpigi magoe barabara imekuwa shida sana. Tunalazimika kutumia saa nzima kwenye mwendo wa dakika 15 kutoka mpigi magoe kwenda...
Sadick Mtulya
ALIYEKUWA mgombea ubunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chadema, Fred Mpendazoe janaalipatwa na msukosuko wakati alipokamatwa na askari wa Jeshi la Polisi ambao walidai kuwa...
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Katika amri za Mwenyenzi Mungu amekataza ni kuzini ila kiafya ,kimwili binadamu anakuwa na matamanio, mojawapo ni kusex ukisema usex dhambi ya kuzini ipo pale so...
Kila kukicha, nazidi kuamini maneno ya mwana JF mwenzetu M.M Mwanakijiji kipindi cha uchaguzi mkuu 2015.
Ni wazi kuwa kwa mafisadi waliopo CCM, UKAWA ya Lowassa ni bora kuliko CCM ya Magufuli...