Hivyo tu...
Those girls that u used to call hot chicks...nw turned to frozen bones.
Sipendi mademu walivyokuwa wanariga..
Ila pia wanavyodhalilika sasa .men ni aibu.
My take..
Hivi vyama...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waishio Canada wadumishe mshikamano wao na wawe na uzalendo kwa Taifa lao.
Ametoa wito huo jana Oktoba 31, 2017 wakati akizungumza na Watanzania...
Kwa kawaida nchi zote duniani kumekuwa na desturi ya viongozi wakuu wa nchi (Marais) kutumiana salamu za pongezi kwa Rais Mteule pindi tu Tume ya nchi zinapomtangaza mshindi katika kinyany'anyiro...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mhe Lazaro Nyalandu akiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu baada ya kumtembelea hospital Nairobi wanavyoonekana kwa tabasamu na misingi ya utu...
Wakuu Nawasalimu
Ninaomba niwape kisa cha wawindaji wawili waliokwenda kuwinda porini na kupata mnyama ambaye hawakutegemea kumnasa na hatimaye kwa haraka haraka wakakasirika kwa kudhani...
GHARAMA ZA UONGOZI
Ni watu wachache sana wanaotambua adha, shida, manyanyaso, upweke, matusi, dharau, na mambo mengine magumu wanayopitia viongozi. Wengi wanapofikiri kuhusu majukumu na nafasi ya...
Leo zimezuiwa ndizi zenye thamani ya Tzs 5,000/= Maafisa wamesema serikali imezuia uingizwaji wa ndizi toka bara sababu kuwa zina wadudu wanaosababisha maradhi. Hajafafanua maradhi hayo aina gani...
Ikiwa tumeteketeza Malaika wale masikini hata bado hawajaifaidi Oxygen ya Mola wetu duniani,basi na hawa wahamiaji wanaokamatwa kwenye Noah/Malori nao wateketezwe haraka Maana hatujui kama huko...
Eti ' Wadau ' hivi kumbe katika haya Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama huwa hakuna ' Karakana ' zao za kuweza kutengenezea ' Magari ' yao ' Chakavu ' hadi mpaka wajitokeze tu Makampuni ya Wahindi...
Ni jina la ajabu sana la mtu mwenye mamlaka makubwa sana ktk ardhi yetu tuliyojaaliwa na Manani. Mtu huyu ni mwingi wa hila na hasira, tena akikasirika hata fimbo hutumia.
Al-manusura auwe...
Imefahamika kuwa sasa walimu wengi wa jinsia zote yaani wa kiume na wakike wote wametawaliwa na michezo ya kubashiri yaani betting!.
Sasa walimu wengi kupitia simu zao za smart phone wanazo app...
Zitungwe sheria kuhusu mambo yafuatayo
1. Usafi wa mwili, pikipiki na mavazi, ukukiuka faini kuanzia 50,000 (fifty thousands)
2. Mavazi stahili eg. Helmet, heavy jackets, hard boots, kama huna...
Wanawake wa Kijiji cha Kaziramihunda na Juhudi Kata ya Kasanda wilayani ya Kakonka mkoani Kigoma, wamelalamikia kutelekezwa na waume zao ambao wanatelekeza familia na kwenda kuoa wakimbizi kutoka...
Kwako Waziri mwenye dhamana, mimi mkazi na mwenyeji wa nchi ya yetu nilikuona kwenye vyombo vya habari ukiongelea sakata la umeme kukatika nchi nzima siku ya tarehe 25 October ukasema kwamba ni...
Nimeona tangazo lako ukiwa Sumbawanga ukiwa unazungumzia ujenzi holela, na kutoa agizo kwa wakurugenzi wa halmashauri kubomoa nyumba za watu wote waliojenga ama kiholela ama bila kibali cha...
*Waziri Ummy Mwalimu ahimiza Viwanda vya Dawa Zenye Ubora, Salama na Ufanisi*
Katika kuunga mkono Sera ya Uchumi wa Viwanda ya Mh. Rais Dkt. John Magufuli, Wawekezaji wa ndani watakiwa kujenga...
Nimesikia vifaranga vilivyoingizwa nchini vimeteketezwa, hii imeniuma sana nikifikiria viumbe wale wadogo wakipata adhabu ile ya Jehanum.
Maswali ya kujiuliza;
Hivi hakukua na njia nyingine...
Wakuu wasalaam,[emoji113]
Nilikuwa nimeketi nasikiliza RFA , nikarudi nyuma kukumbuka jinsi ilivyokuwa maarufu miaka ya 2007 kurudi chini.
Nikakumbuka kila nikipita mtaani jioni ile watu...
Wadau,
Ni jambo la kutia moyo pale ambapo wakopaji wanarejesha mikopo kwa wakati ili kuwezesha wengine wapate msaada kama wao.
Hapa nyumbani nina kijana wangu ambaye miaka ya nyuma sana alipata...