Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Mheshimiwa Josephat Kakunda amemuagiza mkuu wa wilaya ya Mpanda Bi.Lilian Matinga kuwasimamisha kazi walimu watatu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I Mods naomba futa hii mada imejipost kimakosa
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Nimekua nikiangalia programme nyingi kupitia Azam TV lakini huwa hawaonyeshi neno live hasa kwenye.Azam Two na Azam Sports 2. Kwa mfamo muda huu nacheki game ya Majimaji na Stand United lakini...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana jf Naomba ushauri wenu naomba kujua jinsi ya kuanzisha fiancial service itakayokuwa inatoa mikopo kwa watumishi wa umma tu. mwenye experience na anayejua changamoto zake anijuze, na ile...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wana jf Naomba ushauri, nawezaje kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa Certificate, utaratibu uanzie Kwenye kusajili ni hatua zipi napitia hadi vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ninapokuwa nimeanzisha...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naamini alowaroga tigo ndo kawaroga na nyie aseh. Internet hakuna kabisa hata ukiwa posta kati ya mji. Nimeingiza uni imesoma nina bando kuja cheki hakuna kitu wala internet sina. Yote Tisa kumi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika maeneo mbalimbali duniani kunywa pombe ni suala la kawaida katika mikusanyiko ya kijamii. Lakini matumizi ya vilevi humuweka mtu katika hatari ya kudhurika kiafya na kuathirika kisaikolojia...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
KABLA ya kusoma simulizi hii, bila shaka hakukuwa na kitu walau kinachofanana nacho ndani ya ubongo wako hasa iwapo unatokea katika taifa linaloendelea. Lakini unaweza ukawa umewahi kukiona...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kumekuwepo historia za uadui mkubwa miaka ya nyuma kati ya mataifa mawili hasimu hapa duniani. Kuna mifano mingi sana ya mataifa yaliyokuwa na uadui mkubwa baina yao. Hata hivyo nyingi ya hizo...
5 Reactions
52 Replies
15K Views
Yaani inakaribia mwezi wa pili huu naomba Passport uhamiaji wananizungusha kama sio mtanzania, inauma kwa kweli, kila unapoenda wanaagiza ulete document mpya nå kila siku wanataka urekebishe kitu...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Akikuuliza mtu mjibu kwa mifano hai kama hauna cha kumjibu basi bora ukae kimya. Mwaandishi mmoja wa habari alimuuliza dai mmoja wakijerumani Salah El dyn mahusiano yaliopo kati ya Uislamu na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
tanzania kupeleka wanyama nje kimataifa ni sawa kabisa kuna zoo kote duniani wanyamama wanatoka wapi ?afrika kuwapa wanyama nchi awana wanyama sidhani ni kama ni makosa , nakumbuka mwalimu nyerere...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Umemuajiri mtu halafu unaomba akupe kazi? Tena kwenye ofisi yako? Eti unamuogopa muajiriwa wako, siasa bwana. Sorry mliosoma political science tena degree, hivi mnakitu gani cha tofauti na Mh...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale wanamfuatilia mwanadada niliyemtaja hapo, watakumbuka ni jinsi gani anapigania maslahi ya Taifa hili kuwashinda hata tunaowaita Makamanda. Samantha Cole kwa muda mrefu sana kawa mstari wa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari za mida, Lengo langu ni kutoka dukuduku langu juu ya mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB. Ikiwa tiyari ni ijumaa na mda unaenda kwa kasi ya 4G kwa mbali naanza kukumbuka...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
TRA Lindi imefungia kiwanda cha saruji kilichopo wilayani Kilwa kwa kushindwa kulipa deni la milioni 89 na kukipa siku 7 kulilipa. ======= Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkoa wa Lindi, kwa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
. Mtuhumiwa huyo alikamatwa Tunduma wakati akifanya jaribio la kutoroka Tanga.Mkazi wa Kijiji cha Bulwa Tarafa ya Amani Wilayani Muheza, Ismail Yahaya (41) aliyekamatwa Tunduma wiki iliyopita...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Naomba kupatiwa elimu juu ya mwendo penye alama za vivuko waendao kwa miguu, nilazima upunguze mwendo hata kama hakuna anevuka?! Speed limit kiasi gani?! Barabara kuu Dar-Dododa-Rusumo boda ya Tz...
0 Reactions
4 Replies
695 Views
Ni mimi tuu au wote??? Au ndio wameanza kufungia mitandao ya kijamii. ===== WhatsApp struck by 'Worldwide outage' The hashtag #whatsappdown is trending on social media at the same time as...
1 Reactions
60 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…