Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Wana jf
Naomba ushauri, nawezaje kuanzisha chuo kitakachokuwa kinatoa Certificate, utaratibu uanzie Kwenye kusajili ni hatua zipi napitia hadi vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ninapokuwa nimeanzisha chuo isiyokuwa na Boarding.
Karibuni