Airtell ni nani alowaroga

Airtell ni nani alowaroga

geranteeh

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2015
Posts
268
Reaction score
651
Naamini alowaroga tigo ndo kawaroga na nyie aseh. Internet hakuna kabisa hata ukiwa posta kati ya mji. Nimeingiza uni imesoma nina bando kuja cheki hakuna kitu wala internet sina. Yote Tisa kumi huduma kwa wateja hakuna option ya kuwapigia.
Wenzenu walianza hivi hivi kudidimia
 
Aisee wanaboa sana internet yao ni shida najuta kununua hii line nina siku 3 tu nayo lkn sina hamu nayo
 
Doh nilijua mimi aisee...nina line ya airtel tangu 2005 but siku hizi internet ni mbovu balaa
 
Hapo kwenye kukosa option ya kuongea direct na mtoa huduma airtel ndo inanikelaga sana
 
Dah natumia nikiwa dar na natumia nko arusha iko poa check settings za internet configuration usitumie za airtel utajuta milele unastream poah kabs ila kuna muda kawaida kuzingua kutokana na miundombinu yetu kwa masaa wawili matatu then inatulia na inatokea in a few days sio mara zote pia check na haina ya cm yako techno network awako sawa tumia iphone au samsung pia sony iko poah cm cnatofautiana uwezo wa network
 
Sasa mkuu tutumie configuration zipi? kama unazo tupia hapa
 
Wanasubiri atukanwe kiongozi wafanye kazi
Bongo michocho sana yaani simu ina bando lakini kutumia ni tatizo yaani network magumashi
Ni sawa na gari kujaza full tank halafu barabarani kumejaa foleni
 
Back
Top Bottom