Azam TV mbona neno live hamlipendi?

M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
361
Likes
302
Points
80
M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
361 302 80
Nimekua nikiangalia programme nyingi kupitia Azam TV lakini huwa hawaonyeshi neno live hasa kwenye.Azam Two na Azam Sports 2.

Kwa mfamo muda huu nacheki game ya Majimaji na Stand United lakini huwezi kujua kama ni recorded programme ama laa.

Wakati huo huo AUPL kati Mbarara city na Vippers kuptia Azam One kuna neno live. Wakionyesha Laliga pia huwa neno Live linawekwa.

Je mmekatazwa na TCRA au tatizo ni nini. Mtu anaweza asiangalie match kwa kutokujua kama programme hiyo ni live au recorded.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,877
Likes
32,622
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,877 32,622 280
Labda hawaruhusiwi kurusha hio mechi live.. Wanajua wanachokifanya
 
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Messages
3,262
Likes
1,315
Points
280
Ta Kamugisha

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined May 17, 2011
3,262 1,315 280
Mubashara ndio live mkubwa, au weww ni mpinga kiswahili? Jivunie lugha yako
 
M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
361
Likes
302
Points
80
M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
361 302 80
Hata hilo neno mbashara halipo kabisaaa
 
R

Rasokauzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Messages
562
Likes
292
Points
80
Age
23
R

Rasokauzu

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2014
562 292 80
Wanajaribu kuonesha utofauti
 
fatmanuria

fatmanuria

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2017
Messages
414
Likes
612
Points
180
fatmanuria

fatmanuria

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2017
414 612 180
Labda huwa wanasahau
 
omarion5

omarion5

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2017
Messages
5,187
Likes
17,435
Points
280
omarion5

omarion5

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2017
5,187 17,435 280
Wamekusikia watajirekebisha next time
 
M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
361
Likes
302
Points
80
M

MKEHA

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
361 302 80
Mbashara neno refu sana mpaka nafasi ya kuliandika kwenye TV inakosekana
 
Usangu

Usangu

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Messages
803
Likes
400
Points
80
Usangu

Usangu

JF-Expert Member
Joined May 28, 2015
803 400 80
Mubashara ndio live mkubwa, au weww ni mpinga kiswahili? Jivunie lugha yako
Mueleze jamaaa , Mubashara itakua inaonekana kwenye TV yoko tu. Azam hakuna mubashara wala live
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,056
Likes
498
Points
180
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,056 498 180
Nimekua nikiangalia programme nyingi kupitia Azam TV lakini huwa hawaonyeshi neno live hasa kwenye.Azam Two na Azam Sports 2.

Kwa mfamo muda huu nacheki game ya Majimaji na Stand United lakini huwezi kujua kama ni recorded programme ama laa.

Wakati huo huo AUPL kati Mbarara city na Vippers kuptia Azam One kuna neno live. Wakionyesha Laliga pia huwa neno Live linawekwa.

Je mmekatazwa na TCRA au tatizo ni nini. Mtu anaweza asiangalie match kwa kutokujua kama programme hiyo ni live au recorded.
wanatumia kiswahili siku hizi
 
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,056
Likes
498
Points
180
GAS STATE

GAS STATE

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,056 498 180
Hao ni ISISI supporters eti hata kwenye ile timu yao hawapendi sana wakristo au majina ya utani ya wachezaji maarufu wa kizungu mfano Mesi Kanavaro na ujinga mwingine wa kutosha tuu. Tazama hata wasemaji wa timu wanaanzaga kuongea na Media muda wa azana ili makelele yasikike anapohojiwa, na wengi huwa na makanjanja ila kigezo ni kuwa mvaa gauni jeupe na kabakuli ka kuzuia akili isipumue
Acha unafiki na umaskini wa fikra wewe, we unatoka kabila lenye vichaa, kwani Adebayor(John Bocco) katokea wapi. umaskini shida aisee we anzisha yako.
 
py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Messages
2,473
Likes
4,256
Points
280
Age
49
py thon

py thon

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2016
2,473 4,256 280
Acha unafiki na umaskini wa fikra wewe, we unatoka kabila lenye vichaa, kwani Adebayor(John Bocco) katokea wapi. umaskini shida aisee we anzisha yako.
Mkuu umejishushia hadhi kureply
 
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,275
Likes
1,497
Points
280
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,275 1,497 280
Hao ni ISISI supporters eti hata kwenye ile timu yao hawapendi sana wakristo au majina ya utani ya wachezaji maarufu wa kizungu mfano Mesi Kanavaro na ujinga mwingine wa kutosha tuu. Tazama hata wasemaji wa timu wanaanzaga kuongea na Media muda wa azana ili makelele yasikike anapohojiwa, na wengi huwa na makanjanja ila kigezo ni kuwa mvaa gauni jeupe na kabakuli ka kuzuia akili isipumue
Kama huyu?
 
Attachments:

Forum statistics

Threads 1,249,419
Members 480,661
Posts 29,697,542