Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wanajf.... Leo wakati nasikiliza hotuba ya Mhe.Rais JPM nilipata kumsikia akisema bado, atasimamia msimamo wake wakufuata sheria kwa mifugo yote itakayoingia nchini kutoka nchi jirani, hii...
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Salute!.. Kama maneno niliyoyaskia kutoka huko mitandaoni ukiwepo hapa Jf basi hao wanaouhusika hawajalipa uzito unaostahii suala hili. Sitaki kuamini kama limekaa kisiasa,lakini nachelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo hii kupitia magazeti nimesikia kuwa Serikali inatarajia kuwaongezea watumishi wa umma mishaharana na nyongeza kwenye mishahara yao. Ningependa kuiomba Serikali kuwa katika nyongeza hii...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Baada ya kusota mahabusu kwa siku nne, hatimaye Vigogo wawili wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wanaokabiliwa na kosa la kuisababishia Serikali hasara ya Tsh. Bilioni 1,097,681,107, wameachiwa...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi ' logically ' tu Chombo cha Habari kikubwa na tegemezi nchini Tanzania kuamua kwenda kuwahoji Watoto wa Shule za Msingi tena wa Darasa la Nne na Darasa la Pili juu ya ' Utendaji ' wa '...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau, Wafuasi 12 Wa Chadema Leo Tarehe 6/11/2017 Wamefikishwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Kumshambulia Mgombea Udiwani Wa CCM Kata Ya Muriet Mhesh Mbise. Watuhumiwa Hao Waliofikishwa Katika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Imebidi ni tune TBC kwa sababu mtangazaji anakuwa msemaji mkuu anaingilia matangazo na hataki kumruhusu mshereheshaji akatoa maelezo tunajua yuko kwao apunguze Azam ndiyo ianayosikika vizuri atulie
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Salaam wajumbe!! Nianze kwa kumshukuru muumba mbingu na nchi kwa hii pumzi maana ni wengi kwa macho yangu nimeona wakitamani hii pumzi ila mungu akawapenda zaidi. Niende moja kwa moja kwa mada...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Salaam wapendwa, Roho inaniuma sana ninaposhuhudia ndugu zetu wa upande wa pili wakiwa huru kuoa hadi wake wanne, kwa mambo ninayoyapitia nadhani ni haki yangu roho iniume.Kwa mfano hapa jirani...
21 Reactions
251 Replies
23K Views
Matangazo ya TBC ya TV na RADIO yatazimwa kwa muda leo Jumapili Novemba 5, 2017 ifikapo saa sita mpaka saa saba usiku. Ili kutoa fursa ya kuwasha mtambo wa kuboresha urushaji wa matangazo ya TBC...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Habari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Serikali imeeleza utaratibu utakaotumika kuligawa shamba la eka 326 lililokuwa likimilikiwa na mke wa Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye. Agosti, mwaka huu Serikali ilibatilisha umiliki wa eka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za jumapili. Cha kustaabisha hizi sinena za ngono zinaangaliwa Na mabilioni ya watu duniani. Hivi hawa watu hawana ndugu? Unakuta mama mzima vibibi vizee mibaba inacheza. Kuzini sawa mtu...
7 Reactions
54 Replies
22K Views
Ndugu Watanzania mimi DEOGRATIUS KISANDU ni Baba wa watoto na pia ni Baba kijana mzalendo kwa Taifa letu. Leo nimeonelea kuweka jambo hili wazi ambalo ni vigumu kwa mwingine kufanya kama...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Nitoe tu pongezi zangu za dhati kabisa kwa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuamua kabisa bila kushinikizwa na Mtu yoyote kumteua Bwana Hassan Abbas kuwa Msemaji wake na pia kuwa ndiyo Mkurugenzi wa...
13 Reactions
93 Replies
8K Views
NAOMBENI MSAADA JAMANI NATAKA KUJUA EXIM BANK KAMA JPILI INAFUNGULIWA PALE MLIMANI CITY.NA NI MUDA GANI?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha imewaachia huru washitakiwa saba waliokuwa wafanyakazi wa benki ya Exim Arusha huku ikiwaweka hatiani washitakiwa wengine sita. Washitakiwa hao alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kila nchi ilinde mipaka yake,sio nchi moja inapractice ufugaji wa hovyo then wanavusha ng'ombe nchi nyingine kuifanye nayo iwe jangwa, baada ya wamasai wa Kenya kukamata ng'ombe 4000 kama...
5 Reactions
173 Replies
19K Views
Nimekuwa kwa njia fulani nikifanya tafiti kuhusiana na uelewa wa watanzania au wanachama wa jamiiforums. Iimeweza kujifunza kitu flan. Wengi hupenda kujitanabaisha kuwa ni wasomi na wenye elimu au...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…