Japo mmechoma vifaranga wakenya wanatupenda

  • Thread starter Anna Maria Buberwa
  • Start date

Anna Maria Buberwa

Anna Maria Buberwa

Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
58
Likes
106
Points
40
Anna Maria Buberwa

Anna Maria Buberwa

Member
Joined Oct 3, 2017
58 106 40
Unyama umehamia kwa binadamu kwa Kasi
Sina mengi zaid iko wapi haki ya mifugo? Hata kama haijasemwa na mamlaka za kidunia nafsi itusute

Kuteketeza vifaranga visivyo na hatia jamani,

Wakenya wanatupenda
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
14,290
Likes
4,749
Points
280
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
14,290 4,749 280
Bila kutubu laana ya taifa inatuwinda; aliyetoa amri vichomwe ajitokeze aombe radhi. Viumbe vile havikuwa na kosa lolote lile
 

Forum statistics

Threads 1,238,798
Members 476,185
Posts 29,330,975